Ajifungua Farasi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajifungua Farasi!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by eRRy, Sep 22, 2012.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [h=3]MAAJABU YA DUNIA MWANAMKE AMEJIFUNGUA FARASI KANISANI[/h]

  [​IMG]

  Waumini wa kanisa la ‘World liberation Ministry’ linalopatikana katika mji wa Sepele nchini Benin Jumanne iliyopita walikumbwa na mshangao baada ya mwanamke mmoja kujifungua farasi wakati wa misa ya maombi iliyofanyika katika kanisa hilo.

  Hata hivyo wakati waandishi wa habari walipofika katika kanisa hilo, tayari farasi huyo alikuwa ameshakufa. Inasemekana kuwa mwanamke huyo ambaye jina lake bado halijajulikana, alianza kupiga kelele wakati wa maombi na kisha kuanza kutoa damu katika sehemu zake za siri kabla ya kujifungua farasi huyo.

  Msimamizi mkuu wa kanisa hilo, muinjilisti Silva Wealth alisema kuwa bado anashangazwa na kilichomtokea mwanamke huyo. Silva alisema kuwa wakati wa maombi alipata uono kuwa kuna mwanamke mwenye tatizo na kwamba kulikuwa kunakitu kinazuia...

  Silva aliendelea kusema kuwa maombi yalipopamba kasi, mwanamke huyo alianza kupiga kelele kisha damu zikaanza kumtoka halafu kikamtoka hicho kitu.

  “Siwezi kuelezea kitu hicho. Katika maombi yetu tumewahi kushuhudia watu wakitapika vitu mbalimbali, lakini sio kitu kama hiki.” Alisema muinjilisti Silva.

  Mara baada ya taarifa hizo kuzagaa mitaani, watu mbalimbali walianza kukimbilia katika kanisa hilo ili kuweza kushuhudia kwa macho yao.
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  makubwa!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Source please!
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ajifungua punda eRRy
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
 6. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  distazo ,huyo ni Farasi as mentioned!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  This is genetically next to impossible, anyone with an elementary knowledge of DNA and chromosomes should know that. Horses have 32 pairs of chromosomes, humans have 23 pairs, the two cannot interbreed.

  Humans are of the genus "Homo" while horses are of the genus "Equus", totally different even if one is to entertain the extremely rare intergeneric crossbreeding.

  I mean even their families are different, with humans being from Hominidae and horses from "Equidae".

  The only thing they have in common is the class Mammalia which is so high up the food chain to make it practically impossible to crosbreed. There are no known interordinal crossbreeding (breeding between different orders).

  Labda ungesema binadamu azae na nyani.

  Biology ya form one tu inatosha kujua yote haya.
   
 8. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona hatumuoni mama yake au ndio katoka bomba
   
 9. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio tuko mwishoni tena
  tutashuhudia mambo kadha wa kadha
   
 10. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Kaaz kweli. Ama baada ya kumaliza viumbe wa nchi kavu, waende baharini na angani.
   
 11. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ooh! Kumbe jukwaa la utani,ningeshangaa xna
   
 12. L

  La Voz Member

  #12
  Sep 23, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Biology so complicated
   
 13. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  si punda ,ni farasi mbna unakuwa mgumu kuelewa,aaarghh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Hii kitu inaonekana imehamishiwa tu huku jokes!
   
 15. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  That is where all the science ends!All the books and researches ends with that conclusion, just as good as u have presented!But in research u expect un expected!Just dig father bse what u have read is good but not the best,not the final!There is a more science of Almighty God and tht little of Satan!rgds
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  And where did I say it was final?

  And where is this science of almighty god? Is it empirical?
   
 17. Maranzana

  Maranzana Senior Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 179
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Hayo ndo maajabu ya makanisa uongo yaloyoko kibiashara zaidi ili kuvutia waumini
   
Loading...