Anapiga World tour alafu we unasema ajitumi ulitaka abebe Gari yake kichwani na kutembea nayo mjini ndio uone anajituma?!Kiba sio mbunifu na hajui kujituma kufanya kitu kizur.... Nilikua napenda kaz zake ila tangia waje akinq fulani naona ubunifu na kujituma zaid kwao. Kiba badilika bro
Ukizeeka usipokuwa mchawi utakuwa mganga.Sincerely speaking nilijua hiyo video ni behind the scenes tu, yenyewe ingekuja Kumbe ndio amemaliza.
Jitahidi unafiki ni ugonjwa angalia usikutawale,Haters mtalala na viatu leo
Unataka ubunifu upi? Au huelewi maana ya ubunifuUtasema utumbo
lakini ukweli ndio huo
msanii hana ubunifu wowote wewe unaona sawa
!!
World tour? Ile anaenda kufanya USA na ommy dimpoz? HahahahaAnapiga World tour alafu we unasema ajitumi ulitaka abebe Gari yake kichwani na kutembea nayo mjini ndio uone anajituma?!
Mkuu upo serious hapo ulipoitaja Kijichi?Splendid and very Classic...Huwezi kuilewa haraka hasa kama wewe unatokea maeneo ya Manzese...Kijichi,Tandale pamoja na viunga vyake..
Tour na dimpoz imekaa powa jamaa anajiamini sana,anaweza kufanya tour hata na harmolapa akafanya vyemaWorld tour? Ile anaenda kufanya USA na ommy dimpoz? Hahahaha
Bora mmeuondoa
World tour? Ile anaenda kufanya USA na ommy dimpoz? Hahahaha
Ona mambo hayo?!World tour? Ile anaenda kufanya USA na ommy dimpoz? Hahahaha
Hahaha iyo ya south Africa akifanya atupostie video na picsOna mambo hayo?!
Alafu kalia kisema hivyo hivyo ajitumi.
Wasouth ndio walivyo...Nawajua kuliko unavyodhani.Hahaha iyo ya south Africa akifanya atupostie video na pics
Unawajua wasauzi au unawasikia?
Hiyo anaenda kuwaimbia watanzania wanaoishi sauzi kwenye club kama getto , waulize sauti Sol wakwambie wasauzi walichowafanyia
Hawaendi kwa vile hawana pesa au hawaendi kwa vile mpiga show ni mgeni, ila ticket si zimeshauzwaWasouth ndio walivyo...Nawajua kuliko unavyodhani.
Hata show ya Wizkid zaidi ya 80% watakao enda ni wapopo labda na mademu zao wa ki-south so hilo sio jambo la ajabu.
Hayo mengine tutaongea baada Tour.
Ukizeeka usipokuwa mchawi utakuwa mganga.
wabongo wanataka video iwe na msinki ya bafuni na gari la rolls royceHii video kali sana, imefanywa katika professional kubwa akili ndogo kama nywele za fidodido haziwezi kuelewa go kiba,