hahahahahah et shekishekiKiba Haya madharau.
Kiba huu unaotuletea ni ujinga.
Kiba hukutakiwa kuwa na haraka ya single mpya
Kiba why unatuangusha?
Kiba umeamua kuwa shekisheki?
Au ngoja na mie niamni kama weenzangu kuwa hii imevujishwa sio yenyewe.
Mods kuna ulazima wa kuhamisha huu uzi kwenye Jokes forum hahaha maana kila baada ya post mbili ni kicheko tuYani hamna msanii wa mchangani kama huyu pimbi....
Hahaha..Ila litakua tangazo nyimbo bado
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitarudi ngoja.......Nimalizie Kuangalia Marry u
UmeuaAje remix video
Nimeona kama nifah kala ban
Haswaaaaa....Majirani naona mnahuzunika.... Mlipenda boga pendeni na ua lake[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
kweli juzi alileta ubuyu wa diamond ukawa wa uongoNimeona kama nifah kala ban
Kiba sio mbunifu na hajui kujituma kufanya kitu kizur.... Nilikua napenda kaz zake ila tangia waje akinq fulani naona ubunifu na kujituma zaid kwao. Kiba badilika broMsimtengee Kueni Wavumilivu.....Sidhani kama Hili ni Tatizo la Management what i see ni kuwa kiba Sio mbunifu at all! Ni majivuno na kujiona anajua ndio sababu ya kutotaka kuupokea ushauri wowote unaoenda kwake? Mashabiki wa kweli wa Ali Kiba toka Lini wametoka wakimshauri kubadilika juu y video anazo zifanya Lakini kila siku amekuwa akidrop?
Hapa thamani ya Bifu lake na Diamond ndo linaonekana Sitashngaa kuona hii video Ina views Wengi sana Youtube.....Coz watu watataka kuangalia uupuzi alio Fanya na watacompare na Diamond japo now Diamond anatafuta views 3M kwenye Vevo ila hii Aje Remix itakuja kwa kasi kutokana na Watu kutaka kujua nn kipo ndani ya Lakini sio kwa sababu ya Video ni nzuri
Ali Kiba Hadi Video inavuja???