Haijavuja mkuu kaachia officiallyMsimtengee Kueni Wavumilivu.....Sidhani kama Hili ni Tatizo la Management what i see ni kuwa kiba Sio mbunifu at all! Ni majivuno na kujiona anajua ndio sababu ya kutotaka kuupokea ushauri wowote unaoenda kwake? Mashabiki wa kweli wa Ali Kiba toka Lini wametoka wakimshauri kubadilika juu y video anazo zifanya Lakini kila siku amekuwa akidrop?
Hapa thamani ya Bifu lake na Diamond ndo linaonekana Sitashngaa kuona hii video Ina views Wengi sana Youtube.....Coz watu watataka kuangalia uupuzi alio Fanya na watacompare na Diamond japo now Diamond anatafuta views 3M kwenye Vevo ila hii Aje Remix itakuja kwa kasi kutokana na Watu kutaka kujua nn kipo ndani ya Lakini sio kwa sababu ya Video ni nzuri
Ali Kiba Hadi Video inavuja???
AliKiba ana gubu sana, Mwinyi na anapenda sana kunyenyekewa kuliko kujishusha - Unaweza kukuta walishakosana!Nyimbo Kali,video Kali,ila kaniudhi tu mshkji MI hayupo,,, tatizo tumezoea kuona video za magar maghorofa na mademu wanalewa kwenye swimmin pool,,,Ila video kali
Splendid and very Classic...Huwezi kuilewa haraka hasa kama wewe unatokea maeneo ya Manzese...Kijichi,Tandale pamoja na viunga vyake..
We mwenye lolote dole gumba limevimba kwa kubonyeza button na kuchangia utumbo kutwa nzimaHapa ndio mtakubari maneno ya Ney
Alikiba ana tembelea kick za diamond hana lolote kwa sasa
Neyo ni sawa na Q-chief wa marekani tu...hana impactUnashindwa kumuweka M1 kwenye video neyo utaweza kweli
Haters mtalala na viatu leoNakupenda ali kiba napenda nyimbo zako,nakumbuka kwa mara ya kwanza nakusikia ktk nyimbo ya abby skilliz maria nilikukubali sanaa,ila nimechoka kua mnafiki na kukukingia kifua kwa ajili ya mapenzi yangu kwako,nadhani tukikuambia ukweli unaweza badilika,kwa hii video ni heri ungetoa ata video yako ukiwa upo uwanjani unafanya mambo yako yaani ukiwa na muheza unapiga ball lakini kwa hii umetuangusha mashabiki wako kwa kiwango cha p.h.d. why utufanyie haya nahisi unatuhujumu?
Mimi ni mmoja wa watu walikwenda kucheki upuuzi wa Diamond kwenye ile video yake ya kipuuziMsimtengee Kueni Wavumilivu.....Sidhani kama Hili ni Tatizo la Management what i see ni kuwa kiba Sio mbunifu at all! Ni majivuno na kujiona anajua ndio sababu ya kutotaka kuupokea ushauri wowote unaoenda kwake? Mashabiki wa kweli wa Ali Kiba toka Lini wametoka wakimshauri kubadilika juu y video anazo zifanya Lakini kila siku amekuwa akidrop?
Hapa thamani ya Bifu lake na Diamond ndo linaonekana Sitashngaa kuona hii video Ina views Wengi sana Youtube.....Coz watu watataka kuangalia uupuzi alio Fanya na watacompare na Diamond japo now Diamond anatafuta views 3M kwenye Vevo ila hii Aje Remix itakuja kwa kasi kutokana na Watu kutaka kujua nn kipo ndani ya Lakini sio kwa sababu ya Video ni nzuri
Ali Kiba Hadi Video inavuja???
Hana impact wakati unaona miji- TOUR ya mapounds anataka kufanya huko UKNeyo ni sawa na Q-chief wa marekani tu...hana impact
Jamaa ana pressure, hofu na kimuhemuhe, hana ngoma nyingine nzuri - anatafuta tu kakisingizio kakubuy timeMie sijaelewa umuhimu wa hii aje remix ! Coz video ya kwanza MI hayupo hii nayo Yale Yale sasa swali la mwisho remix mabadiliko yapo wapo Ni video Au beats nini dhumuni ya remix
hahahahahahahahaha akya nan mecheka kinomaHuyu jamaa uwa anafanya makusudi si utani wimbo gani huo