Sema Tanzania
JF-Expert Member
- May 18, 2016
- 251
- 466
Kufiwa ni jambo la huzuni kubwa kwa mtu yeyote. Mzazi / mlezi unapatwa na simanzi isiyoelezeka unapoondokewa na mtoto wako kwa kufikwa na mauti. Simanzi hii hudumu muda mrefu na hubadilisha maisha ya wafiwa milele. Poleni sana wafiwa. Mungu ndiye mfariji mkuu.
^ @SemaTanzania
^ @SemaTanzania