The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 35,636
- 108,764
Hasa kama masaa yote tunawaza mambo ya kichawi na kishirikina na kupost thread zinazosapoti mambo hayo ambayo yanasomwa na rika la umri tofauti tofauti humu JF ndio safari inazidi kua ndefu zaidi!Bado tuna safari ndefu sana kuelekea mapinduzi ya viwanda sayansi na teknolojia
Kizazi ambacho ndio kinategemewa kuja kuliendesha taifa kinakua kinaaminishwa mambo ya kufikirika,uchawi,mashetani na ushirikina! kwa kutungiwa vi thread humu!!
Kumbe na wewe unajua kua hii dunia kuna viwanda,sayansi na teknolojia? Au umekusudia ile sayansi ya kupaa na ungo?
