Ajali za mabasi: Ikishatokea moja, hufuata nyingine mfululizo, kisha hukoma, ni kwanini?

mms

Member
Oct 4, 2011
22
7
Kama utakuwa ni mchunguzi wa ajari nyingi zinazohusisha mabasi mara nyingi ikianza kutokea moja basi zitafuatana nyingine kama 4 au tano baada ya hapo hukaa muda kama kuwasahaulisha watu baadae zinatokea tena mfurulizo. Najiuliza sana hii maana yake nini bado sijapata jibu.
 
Nami pia nimeshawahi kujiuliza hili swali kiasi kwamba nikishasikia ajali moja basi huwa najiandaa kisaikolojia kusikilizia zitakazofuata, Sielewi kuwa ni madereva wanachanganyikiwa au inakuwaje, ila na sisi abiria tutoe taarifa za mabasi yanayokimbia kupita kiasi, sio kuanzisha thread za kusifia sijui kisbo sijui kinini...
 
Back
Top Bottom