Ni kweli Mkuu sijui niongealo, lakini hujajibu hoja yangu hata moja kiasi cha kuja na generalization,
Ajali imetokeaje? actually wote hatujui kati ya mzungu na hao madereva nani ana makosa....
Ukiiangalia picha kwa makini waliokuwepo pale si wote walikua bodaboda, na hata mleta mada amesema waliochoma gari ni WANANCHI,
Mzungu anaweza kua alikua ana makosa! unakataa? wonderful!...... amepiga risasi hewani amefaulisha mizigo yake kwenye gari nyingine akatembea anawaachia a black corpse kwa ajili ya mazishi.....
Katika Ignorant Society kama hii ya kwetu uamuzi wa haraka ilikua ni kupata mob satsfaction, nayo ni kuchoma gari hilo ......la bima ni geni kwa sisi masikini, na kwa sababu tunaamini hangechukuliwa hatua huyo mzungu then what could we do? na tunaliona gari la thamani Choma moto, hata Fergeson wanachoma moto the same!.....
Kwa hiyo Mkuu Hata kama wewe hupandi Bodaboda, wapo wanaopanda! wengi sana, hata mimi.....wapi bodaboda wapuuzi, wapo wastaarabu, tunaishi nao mtaani...
Mkuu hizi zilikuwa ni sehemu ya ajira milioni moja zilizoahidiwa na le professeur..
Tatizo ni umasikini wa kufikiri.
Watu wanaiba mapesa Serikalini mengi ya kujenga viwanda kadhaa.
Matumizi ya hizo pesa ni kuopoa wake za watu na kwenda kukata nao Mtaa Dubai.
Vibox manyoya na Mipini ndo project kuu za wezi.
Waone sasa wakinywa wanzuki wa kwenye chupa wakijisifu.
Aaa yulemke wa nani nilimfyekea pale Hyatt Dubai.
Na mke wa karani wangu kwa jinsi alivyo bomba nilimlia Burj Al Arab
Na mke wa jirani yangu yeye nilimrarua pale Dubai Luxary hoteli.
Mmmmm!
Kwa madereva wa bodaboda wala sishangai na nilishaapa kutomsaidia dereva wa bodaboda akipata ajali hata kama anafia mbele yangu namuona
Well your thread is attacking racism and not the situation at hand. Waliochoma gari ni boda boda ingawa wananchi wengi walikuwa wakishuhudia.
By the way ingekuwa ya mhindi, mwarabu, mwafrika mwenzio thread yako ingekaaje??
Tupe assumptions zako zako za kisomi mkuu. Bodaboda tatu zagongwa kwa Mkupuo zikiwa barabarani. Wengine tumetoa assumptions za 'ki-layman'Jamii forum bwana! muda mwingine unafiki wa watu humu unapanda hadi geji ya mwisho, ni vibaya sana...
Mbaya zaidi hakuna aliyeongelea ajali imetokeaje kuonyesha nani alikua ana makosa kati ya Mzungu na hao Bodaboda 3 ( Mungu awarehemu).....
Assumptions zilizotengenezwa hapa nyingi ni za Ki layman tu, eti kosa la bodaboda! mbona mnapenda kugeneralize, mnajua uchungu walionao hao waliowapoteza wapendwa.wao?
Kwani boda boda wote hapa Tanzania wanaendesha vibaya, bodaboda zimeanzia Tanzania kwani? afu nyie wenyewe wanafiki humu ndio wa kwanza kupanda, iambie serikali yenu iweke mikakati mizuri jinsi ya kuwahandle bodaboda na sio blabla za kinafikifiki tu, hiyo ni ajira na wanasomesha kama nyie mnavyofanya....
Eti wangetumia nguvu hiyo kwenye issue ya Escrow, nyie mmefanya nini cha maana zaidi ya kutoa mapovu nyuma ya keyboard! kwani hili ni taifa la bodaboda, huu ugonjwa wa kutupiana mizigo ndio unaofanya mpaka wezi wanakwiba tu.....
Kwa madereva wa bodaboda wala sishangai na nilishaapa kutomsaidia dereva wa bodaboda akipata ajali hata kama anafia mbele yangu namuona
Tupe assumptions zako zako za kisomi mkuu. Bodaboda tatu zagongwa kwa Mkupuo zikiwa barabarani. Wengine tumetoa assumptions za 'ki-layman'
hiyo gari imeniuma sana kuliko hao madereva wa bodaboda
Tanzania bhana, badala ya kuwaua wezi wa Escrow, EPA n.k tunachukua hatua kali kwa matukio ambayo athari zake zinaweza kuwahusu watu 10 tu!