Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Ajali yaua watatu Bunju B, Dar

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,275
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto.

Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi.

Maiti zimepelekwa Kituo cha Polisi Bunjua A.

attachment.php
attachment.php
attachment.php

 

Attachments

  • bunju 2.png
    bunju 2.png
    117.5 KB · Views: 63,628
  • bunju.png
    bunju.png
    60.3 KB · Views: 26,190
  • gari.jpg
    gari.jpg
    27.6 KB · Views: 10,454
So sad! kwa nini jamani tunajichukulia sheria mkononi ?

Uwa tunajifanya tuna hasira kali kwa vitu vidogo,natamani siku moja hiyo hasira kali tuitumie kuiondoa serikali inayokubali magari chakavu na pikipiki za chini ya kiwango zinazoua ndugu zetu kila uchao.

Pia ata pesa za umma za Eskrow tungezidai kwa hasira kali

Bring back our tanganyika

Wana Jamvi,

Jana kulikuwepo prukushani ya nguo kuchani baada ya Jeshi la Polisi kuwavamia bodaboda wa bunju A shule na kukamata baadhi yao, Inasemekana boda boda wakishafanya fujo sehemu huwa wanahama kituo kwa muda.

Hali hii imesababisha boda boda Nyingi kuamia sehemu moja, janja hii polisi washaishutukia jambao ambalo liliwafanya kuvamia kituo kimoja wapo hapo Bunju.

Nikiwa nimetoka kama dakika chache hapo bunju A shule baa ya Parking ilikuwa imejaa sana watu wakifurahi weekend na kuburudishwa na bia ya tusker ambayo ilikuwa kwenye promotion ya nunua bia kwa Tshs 2000 tu, dakika chache baada ya milio bodaboda wengi walikimbilia mitaa ya ndani ndani kujificha.

Chanzo cha kujificha ni kile kitendo cha kuchoma gari lilikuwa likiendeshwa na mzungu kisha likapata pancha na kuyumba na kuparamia watu waliokuwa wamebebena misiri ya mishikaki.

Tukio hilo lilikuwa la kusikitisha shana kwani uamuzi wa wanaboda boda haukuwa mzuri wa kujichukulia sheria mkononi, kwa sasa boda boda wanahaha kutafuta makazi mapya ya kujificha.

Katika tukio jingine, watu walidaiwa kunasia, hii habari ni ya uongo tu walikuwa wamekamatwa ugoni wa kawaida tu kwenye gest jina kwenye kapu.
 
duh poleni wahanga..ila dereva wa boda boda ni janga kuweni makini madereva
 
Ni kweli mkuu hiyo ajali imetokea na nimeshuhudia kwa macho nikiwa kwenye msafara nikielekewa bagamoyo
 

Attachments

  • 1418379005355.jpg
    1418379005355.jpg
    39.8 KB · Views: 2,206
  • 1418379020606.jpg
    1418379020606.jpg
    68.9 KB · Views: 1,947
Ajali imetokea Bunju B na kuua watu watatu papo hapo ambao ni madereva wa bodaboda na VX kuchomwa moto.

Dereva wa VX katoka mzima ila gari lake limechomwa moto na wananchi.

Maiti zimepelekwa Kituo cha Polisi Bunjua A

Hebu tuambie cahanzo cha ajali nini...Maana huenda landcriser ilikuwa haina makosa...Maana boda boda wengi wanakunywa viroba..
 
POleni wafiwa.

Na pia tukumbuke baadhi ya madereva Bodaboda ni Janga lingine la Taifa.

Tuwe makini kipindi hiki ajali ni nyingi.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom