Spider
JF-Expert Member
- Feb 13, 2011
- 1,641
- 558
Mimi mbona sijaelewa! Machinga complex si ipo Ilala na Chang'ombe iko Temeke, huu uhusiano Wa sehemu hizi 2 umetoka wapi? Wanaume Wa Dar hebu nisaidieni, au na Temeke nako kuna Machinga complex?
amejaribu kuelewesha mahali ajali imetokea.yupo sahihi.na ametaja mataa ya chang'ombe na ndipo wilaya zimetengana.barabara ya pugu imetenganisha wilaya hzo mbili.na inatokea mataa ya tazara mpaka kamata.