Ajali ya Treni na Lori kati ya Machinga Complex na Mataa ya Chang'ombe

Ajali ya Treni na Lori kati ya Machinga Complex na Mataa ya Chang'ombe

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,629
Reaction score
6,812
Wakuu,

Kuna ajali kati ya Treni na Lori imetokea kati ya Machinga Complex na Mataa ya Chang'ombe.

Wanaotumia njia hiyo wanashauriwa kutumia njia nyingine!
attachment.php
 

Attachments

  • 1427432316941.jpg
    1427432316941.jpg
    58.3 KB · Views: 4,674
ipo haja kwenye mpango miji na barabara njia za treni zisikatize barabara. Zilizopo wakati wa miradi ya fly over zipite juu.
 
Hapo mpaka trafik aje apime ajue yup mwenye makosa itachukua muda.
 
Hapo ni mahala hatari sana enzi hizo walishapoteza maisha watangazaji mahili wawili wa TBC!!!
 
Hii hatari sana hasa pale inapokua hamna kiashiria chochote cha kuonesha kuwa sasa train inapita
 
Mimi mbona sijaelewa! Machinga complex si ipo Ilala na Chang'ombe iko Temeke, huu uhusiano Wa sehemu hizi 2 umetoka wapi? Wanaume Wa Dar hebu nisaidieni, au na Temeke nako kuna Machinga complex?
 
Hapo mpaka trafik aje apime ajue yup mwenye makosa itachukua muda.
Ukigongana na train hakuna kupima hapo kinachofanyika ni kutafuta namna ya kuondoa gari na train alafu baadae dereva unakutana na mashitaka yako ya kuigonga train
 
Back
Top Bottom