Ajali YA Ndege Mbeya leo

ok apolo wacha tuone hiyo riport yao itatoka lini na itasemaje? kupeleleza kesi ya wizi inachukua miaka sembuse ajali za ndege ambazo hawana utaalamu nao. kujifunza kuendesha helikopta sio kujua muundo wake kwa namna ya mitambo yake,labda tujiulize ni kwann ajali kama ile ya ethiopia ariline na ile ya kenya airways NTSB waliitwa wao ni kwanini jeshi la polis la kenya halikuweza?

ila wewe ulisema hawaendeshi! Na ninachopinga ni unaposema hawafundishwi!
 
294020_159612780791340_100002278567469_303259_463791207_n%255B1%255D.jpg

Hapa ndio mahali ndege hii ilipoangukia baada ya injini zake kuzima ghafla.
Ni Ndege ambayo ni mali ya kampuni ya Kapunga Rice huko Mbeya.
 
DSC00783.JPG ndege iliyopata ajali upande wa mbele

DSC00820.JPG upande wa kushoto

DSC00813.JPG rubani akipewa huduma ya kwanza

DSC00821.JPG wahanga walionusurika wakipeana pongezi
 
Ha ha haaa!
Preta bana!...kama unajua inavyoandikwa si umwelekeze aisee!
Mi nakumbuka tulitembelea kiwanja cha ndege tukiwa darasa la 6 mwaka 1966, na tukafundishwa kuwa inaitwa Cessna-206, 6-seater a/c.

Inabidii nianze kukupa shikamoo!
 
Back
Top Bottom