Ajali YA Ndege Mbeya leo

Ha ha haaa!
Preta bana!...kama unajua inavyoandikwa si umwelekeze aisee!
Mi nakumbuka tulitembelea kiwanja cha ndege tukiwa darasa la 6 mwaka 1966, na tukafundishwa kuwa inaitwa Cessna-206, 6-seater a/c.

nimefurahi kujua hilo......teh teh teh......nimefarijika kujua kwamba hakuna aliyekufa katika ajali hiyo.....
 
Wana JF,

Taarifa ziko karibia miji mingi wametangaza kwenye radio zetu huku mikoani na mwenzetu hapo katoa habari ni kweli kulitokea ajari,

Radio muwenazo hadi officeni wajomba duuuh
 
Hapo Uyole kuna kitu.....
Ya tatu hii.
Na moja ilimuua Waziri, Mh. Akukweti....afu wakadai Cesna ilijaza mikungu ya ndizi na michele iliyopandishwa kilazima kwa amri ya Mh. huyo licha ya tahadhari aliyopewa na wataalam wa ndege hiyo...
 
pamoja na vidole kuteleza....si umeona PJ kaiandika kutokana na alivyoiona alipotembelea uwanja wa ndege bana

Uwanaj gani tena wa ndge you mean DIA ule uanao katikaga umeme teh teh teh teh, Preta!!!!!!!!!

 
Wana kina kitengo cha police airwing.na wangekuwa hawawezi ingeundwa hiyo kamati unayosema,polisi wengine wamesomea hayo mambo na wana marubani wao au unadhani helcopter zao nani anazirusha.penye ukweli tuongee ukweli sio mtu unaandika kitu ambacho huna uhakika nacho.
 
wanajf kwa mujibu wa habari ya saa saba mchana huu TBC TAIFA imeripotiwa kuanguka kwa ndege ndogo takribani kilometa tano kutoka uwanja wa ndege wa mbeya, cah kusahangaza eti jeshi la polisi linafanya uchunguzi kujua chanzo cha ajali. HIVI tanzania kweli jeshi la polis lina uzoefu wa kuchunguza ajali za ndege? kwa nchi za wenzetu waliotuzidi hata kiutaalamu jeshi bado haliwezi bali kuna vitengo maalumu vinavoundwa vikishirikisha marubani wa zamani na mainjinia wa ndege ndio wanaoweza kufanya utafiti wa ajali za ndege sasa hawa polisi wetu wengi hata ndege hawajawahi kupanda au kusomea muundo wake watawezaje kuchunguza ajali???
Polisi wetu ni noma, hilikopta wanaita EDIKOPTA; na kila ndege wao wanaita boing.
Tusishangae wakisema kuwa hiyo ndege ilipata pancha ikiwa angani
 
polis hawawezi ndio pale CCP hawafundishwi kitu kama hicho labda tu kukamata magari na kuchunguzawahalifu hata upelelezi unawashinda sasahii ya ndege watawezaje????
 
hata nchi za wenzetu kama marekanai kuna jeshi la anga pia saa lakini ajali zikitokea hawaitwi wao wanaitwa NTSB kwa taaarifa zaidi kuna kipindi kinaitwa AIRCASH INVESTIGATION kinarurushwa na NATIONAL GEORGRAPHIC. HAPO AIRWING ni chuo cha anga au mafunzo ya kijeshi wanapewa kuhusu mambo ya anga? wanahusika na upelelezi wa ajali za ndege???
SOMA HII
[h=2]The NTSB:[/h]The National Transportation Safety Board (NTSB) is an independent organization that investigates aviation, highway, marine, railroads, and pipeline accidents that take place in the United States. Specifically, every civil aviation accident that occurs in the U.S. must be closely examined by the NTSB.
The NTSB was created in 1967 and has investigated well over 120,000 aviation accidents in the past forty years. Part of the NTSB's job is to issue safety recommendations following the investigation of an accident to help prevent future catastrophes from occurring. In most NTSB investigations a team of specialists is assigned to closely examine a series of factors that may contribute to the cause of a crash.
During NTSB investigations, external organizations or corporations are usually named as parties to the effort that can contribute their expertise. Agencies such as the FAA work closely with the NTSB in an effort to conduct a thorough and conclusive examination into aviation accidents.




Wana kina kitengo cha police airwing.na wangekuwa hawawezi ingeundwa hiyo kamati unayosema,polisi wengine wamesomea hayo mambo na wana marubani wao au unadhani helcopter zao nani anazirusha.penye ukweli tuongee ukweli sio mtu unaandika kitu ambacho huna uhakika nacho.
 
polis hawawezi ndio pale CCP hawafundishwi kitu kama hicho labda tu kukamata magari na kuchunguzawahalifu hata upelelezi unawashinda sasahii ya ndege watawezaje????
acha uongo wewe, unapotosha watu. Nilikuwa ninasoma shule ya primary kilimanjaro iliyopo CCP moshi na mafundisho ya dini nimesoma hapo CCP kanisa katoliki na katika vitu nilivyokuwa navipenda hapo CCP ni kuangalia mafunzo ya makuruta na maaskari wakilenga shabaha, kukimbiza farasi na kuendesha ndege ndogo ndogo kama helikopta.. Nimetoroka sana shule kuona hayo mafunzo. Nashangaa unaposema maaskari wetu hawajui mafunzo ya ndege! Hata vifaru vyenyewe wanajua sembuse ndege? :(
 
hivi kila anejua kuendesha gari ni fundi makenika????

acha uongo wewe, unapotosha watu. Nilikuwa ninasoma shule ya primary kilimanjaro iliyopo CCP moshi na mafundisho ya dini nimesoma hapo CCP kanisa katoliki na katika vitu nilivyokuwa navipenda hapo CCP ni kuangalia mafunzo ya makuruta na maaskari wakilenga shabaha, kukimbiza farasi na kuendesha ndege ndogo ndogo kama helikopta.. Nimetoroka sana shule kuona hayo mafunzo. Nashangaa unaposema maaskari wetu hawajui mafunzo ya ndege! Hata vifaru vyenyewe wanajua sembuse ndege? :(
 
wanajf kwa mujibu wa habari ya saa saba mchana huu tbc taifa imeripotiwa kuanguka kwa ndege ndogo takribani kilometa tano kutoka uwanja wa ndege wa mbeya, cah kusahangaza eti jeshi la polisi linafanya uchunguzi kujua chanzo cha ajali. Hivi tanzania kweli jeshi la polis lina uzoefu wa kuchunguza ajali za ndege? Kwa nchi za wenzetu waliotuzidi hata kiutaalamu jeshi bado haliwezi bali kuna vitengo maalumu vinavoundwa vikishirikisha marubani wa zamani na mainjinia wa ndege ndio wanaoweza kufanya utafiti wa ajali za ndege sasa hawa polisi wetu wengi hata ndege hawajawahi kupanda au kusomea muundo wake watawezaje kuchunguza ajali???

labda kuna posho zimetangazwa, KWA MISHAHARA YAO DUNI, LAZIMA POLISI WATASHANGALIA KUPATA FURSA HIYO YA JAPO KUPOTEZA MDA KWA MADAI KUWA WANAFANYA UCHUNGUZI..
 
Nina imani kubwa kuwa hao polisi ni wataalamu wa kuchunguza ajali za anga. Tatizo wengi wetu humu mpaka muambiwe kuwa Polisi wana degree ya kuchunguza ajali ndo muwape credit. Ninachofahamu ni kuwa polisi wanayo mafunzo ya aina nyingi tu japokuwa yanakuwa siyo weledi.!
 
Breaking news kutoka Mbeya kuna taarifa kuwa ndege imeanguka huko Mbeya maeneo ya UYOLE Tutaleta habari zaidi tukizipata. Kama mtu anahabari zaidi atujuze

source: tanzagiza.com

Ni ndege ndogo kutoka Zambia, ilitua Mbeya . wakati ilipoondoka rubani akabaini hitilafu kwenye engine, ndipo akaamua ku crash land kwenye mashamba ya chuo cha uyole. hakuna aliyekufa bali majeruhi....source Mbeya Airport
 
Back
Top Bottom