Jipange upya hata hueleweki ulikuwa unataka kusema nini!! hapa tunahitaji Taarifa na Habari za uhakika na kama unaona source yako sio reliable kaa kimya kuna member mwingine atakuja kupost habari inayojitosheleza.
OK SO,HAPA NI FIRE AU UOKOAJI??PELEKE FIRE HII HABArI TONDOOOO WEWE;
Naongea kama Matola JF Premium Member.
Unatoa masharti hayo wewe kama nani?
Kwenye vyombo vya habari tena vya kulipia, habari mara kadhaa sio kamilifu sembuse hii uliyoletewa bure.
Jamani kama ni kweli tupe habari, je ni ndege ya shirika gani, ilikuwa na watu wangapi, ilikuwa inatokea wapi, je imetokeaje, watu wangapi wamefariki na je kuna waliopona?
Yah. Tondo kapsa!
OK SO,HAPA NI FIRE AU UOKOAJI??PELEKE FIRE HII HABArI TONDOOOO WEWE;
Hilo ni shirika la ndege la nchi gani? au ulimaanisha Qatar Airways?
Hata hapa Dar es salaam huwa inafanyika kila mwaka, naifahamu vizuri hiyo kitu, kuna dege moja bovu lipo pale uwanjani huwa wanalijaza matairi na kulipiga moto then wanawapigia wote wanaohusika na dharura ili kupima response zao.Mkuu sijawahi kuona huwa inaandikwa vipi ila nimejaribu kuandika nilichosikia, Asante kurekebisha. Hao
Jamaa wanafanya mazoezi ya emergency preparedness na huwa wanawapigia simu hospitali husika na kusema kuna majeruhi wajiandae kupokea na kuwapa marks kwa mshindi. Ni simulation kwa kizungu!
Yaani taarifa ulete wewe halafu habari utuulize sisi!! sielewi JF inaelekea wapi!! kwani ni lazima uharakie kupost kabla ujapata full data?
discipline.si kakupa sababu? mbona unakuwa hauelewi?
Si kakupa sababu? Mbona unakuwa hauelewi?
discipline.
nyie mamod mnaopenda kufuta post na thread za watu
mbona mnaruhusu watu kutukanana yaani inakuwa personal? Kama hawa wa juu
na hii nimeiona sana sasa kama watu wa umri wachini mnataka sema hawajifunzi tabia mbaya humu jf?
Mie najua forum nyingi haziruhusu watu kutukanana kihivi.
Niambieni ma mod kama mie sielewi?