next
JF-Expert Member
- Nov 2, 2007
- 604
- 185
Jamani kama ni kweli tupe habari, je ni ndege ya shirika gani, ilikuwa na watu wangapi, ilikuwa inatokea wapi, je imetokeaje, watu wangapi wamefariki na je kuna waliopona?
na ndo maana huwa mnadanganywa, mna haraka sana na habari, so far alieanzisha huu.uzi hajui chochote na anasema hajasikia vizuri, inawezekana hajaskia chochote.