Ajali ya moto TRA Headquarters: Mifumo yatoweka hewani, waomba radhi

Tangazo la moto kuunguza mifumo ya kukusanya kodi la tra linaharufu ya rushwa

Itoshe tu kusema wizi umerejea kwa kasi sana sio ujambazi wa siraha tu na ujambazi wa kisomi


USSR
 
Acheni utoto mnakuwa kama hamjaota mvz I
mama awe mkali adeal na waliopo kwenye mamlaka
Tatizo sio mama kuwa mkali, tatizo ni kutaka kutuaminisha kuwa hiyo hitilafu imetokea kwa kuwa Magufuli kafa. Hata kipindi cha magu htilafu zilikuwa zinatokea, ila haikuruhusiwa kutoa taarifa kwa umma. Mwaka juzi mwezi wa nne kwenye mfumo wa malipo wa TANAPA/NCAA ilitokea hitilafu malipo hayakufanyika zaidi ya wiki. mbona hatukusikia hizi kelele zenu
 
UMEPOTOSHA!!

Tangazo halisemi kumetokea ajali ya moto na kuunguza jengo au hata sehemu tu ya jengo...

Wanasema, kumetokea hitilafu ya umeme na kusababisha mifumo ya kompyuta ya kutoa na kupokelea huduma kushindwa kupatikana kwa wateja...

Ndiyo maana wanaomba radhi kwa wateja na kuwa wavumilivu wakati wakitatua tatizo in order to bring the whole situation to normal...
 
sasa hivi hata wakikuta mtu kalewa akajikojolea wanasema yote hiyo ni kwa kuwa magufuli kafa
Hawa jamaa walikuwa na nia mbaya sana na tanzania.
Walitaka kuigeuza nchi kama ilivyo burundi na rwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…