• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Ajali ya moto Msamvu inaleta picha ya udhaifu wa vyombo vya usalama

k-bee

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Messages
502
Points
500
k-bee

k-bee

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2017
502 500
Rejea mada tajwa hapo juu.Tangu ajali itokee asubuhi Polisi na vyombo vingine vya Usalama walikuwa wapi kufika kunako tukio na kutoa elimu kwa wakaz kuto lisogelea gari hilo.

Niwakati wa serikal pia kuweka vipind katika maredio na TV kuwaelimisha hasa vijana madhara ya uwiz wa mafuta pale magari yanapoanguka na kutiririsha mafuta.....! nawapa pole wale walioguswa kwa namna moja ama nyingine na ajal hio
MAONI

VIJANA tuchape kazi tuachane na tamaa ya vitu vidogovidogo ambavyo vitaleta maafa makubwa kwenye jamii

----------------------

Maoni ya mdau Quinine

Haiwezekani tukio lidumu kwa takriban saa nzima bila jeshi la polisi kujua au kuwa na taarifa, watu wamechota wamepeleka nyumbani na kurudi polisi ilikuwa wapi.

Nina imani kama polisi ingefika mapema eneo la tukio idadi ya vifo ingepungua, ingefika na kuzuia watu wasikaribie tanki kwa kuweka uzio 'yellow tape ' au kutumia mbinu zingine na kama watu wangekaidi wangewatawanya hata kwa mabomu ya machozi.

Msamvu ni mjini na tukio lilipotokea ni hatua change kutoka kituo cha polisi na kituo cha zimamoto. Kwa mazingira ya maeneo hayo, lazima kulikuwa na polisi wa doria au polisi wa kawaida au trafiki, na naweza kusema baada ya lori kuanguka inawezekana kabisa kuna wasamalia wema walipiga simu polisi kutoa taarifa.

Nasema ni uzembe wa polisi kwa sababu, iliwezekana kabisa ndani ya dakika kumi gari la doria mitaani tunaita 'tenga' liwe imeshafika pale na polisi kulinda eneo la tukio.
 
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
11,786
Points
2,000
ntamaholo

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
11,786 2,000
Leo nimemkumbuka legendry Mwalusaku. Tatizo watu hatujifunzi
Rejea mada tajwa hapo juu.Tangu ajali itokee asubuhi Polisi na vyombo vingine vya Usalama walikuwa wapi kufika kunako tukio na kutoa elimu kwa wakaz kuto lisogelea gari hilo.
Niwakati wa serikal pia kuweka vipind katika maredio na TV kuwaelimisha hasa vijana madhara ya uwiz wa mafuta pale magari yanapoanguka na kutiririsha mafuta.....! nawapa pole wale walioguswa kwa namna moja ama nyingine na ajal hio
MAONI
VIJANA tuchape kazi tuachane na tamaa ya vitu vidogovidogo ambavyo vitaleta maafa makubwa kwenye jamii
 
V

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Messages
4,890
Points
2,000
V

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2014
4,890 2,000
Rejea mada tajwa hapo juu.Tangu ajali itokee asubuhi Polisi na vyombo vingine vya Usalama walikuwa wapi kufika kunako tukio na kutoa elimu kwa wakaz kuto lisogelea gari hilo.
Niwakati wa serikal pia kuweka vipind katika maredio na TV kuwaelimisha hasa vijana madhara ya uwiz wa mafuta pale magari yanapoanguka na kutiririsha mafuta.....! nawapa pole wale walioguswa kwa namna moja ama nyingine na ajal hio
MAONI
VIJANA tuchape kazi tuachane na tamaa ya vitu vidogovidogo ambavyo vitaleta maafa makubwa kwenye jamii
Nakuunga mkono, hapo Msamvu ni mjini, tena kwenye pale Msamvu Terminal ni karibu na kuna polisi, kama wange-react mapema, hayo maafa yasingetokea.

Vv
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
3,073
Points
2,000
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
3,073 2,000
Kiasi fulani tunaweza laumu wao, maana adi watu waanze kujikusanya kuchota wangeweza fika mapema wakaweka tape..

Kiasi fulani nasi binadamu hatujifunzi ile gari tuu ikiwa inatembea teyari ni hatarishi bado tunazidi isogelea ,nafikiri ili liwe fundisho

Gari ya kusogelea ni gari ya bia tuu
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
6,319
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
6,319 2,000
Hii iliwahi kutokea maeneo ya Tukuyu Mbeya miaka ya nyuma kdogo sikumbuki vizuri. Walizikwa kwa pamoja na kaburi lao lipo barabarani. Sema sisi hatujifunzi na huu umasikini ndio unawatia watu uchizi kufanya mambo ya hatari zaidi.

Mungu awapumzishe kwa amani na atujalie mwisho mwema.
 
Maboso

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
4,811
Points
2,000
Maboso

Maboso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
4,811 2,000
Mnapenda kuongozwa hadi kwenye uhai wenu. Polisi waje wawaambie msichote mafuta kwani hamkujua hata kuchota hayo mafuta ni wizi. Badala ya kuokoa maisha ya waliobanwa kwenye gari nyie mnakimbilia kuiba. Mkome na muache wizi
 
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Messages
1,457
Points
2,000
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2017
1,457 2,000
Rejea mada tajwa hapo juu.Tangu ajali itokee asubuhi Polisi na vyombo vingine vya Usalama walikuwa wapi kufika kunako tukio na kutoa elimu kwa wakaz kuto lisogelea gari hilo.
Niwakati wa serikal pia kuweka vipind katika maredio na TV kuwaelimisha hasa vijana madhara ya uwiz wa mafuta pale magari yanapoanguka na kutiririsha mafuta.....! nawapa pole wale walioguswa kwa namna moja ama nyingine na ajal hio
MAONI
VIJANA tuchape kazi tuachane na tamaa ya vitu vidogovidogo ambavyo vitaleta maafa makubwa kwenye jamii
Kwani hao hawana akili?hili kwani ni tukio la kwanza?kama kuna ndugu yako kapatwa na hiyo dhahma kwa kujipeleka mwenyewe usilete hasira zako kwenye vyombo vya dola.
 
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2017
Messages
1,457
Points
2,000
K

kantalambaz

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2017
1,457 2,000
Ili polisi wafike mapema kwenye tukio inatakiwa ajali nayo itokee mapema. Ila ikichelewa na wao huchelewa.

Siwezi kueleweka.
Hao walikua wezi wa mafuta, bora polisi walichelewa vinginevyo nao wangekua miongoni mwa casualties
 
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
4,023
Points
2,000
M

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
4,023 2,000
Hivi wamekufa wangapi iwe fundisho kwa majizi wengine
 
Forum statistics

Threads 1,403,647
Members 531,313
Posts 34,430,182
Top