k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 897
- 979
Rejea mada tajwa hapo juu.Tangu ajali itokee asubuhi Polisi na vyombo vingine vya Usalama walikuwa wapi kufika kunako tukio na kutoa elimu kwa wakaz kuto lisogelea gari hilo.
Niwakati wa serikal pia kuweka vipind katika maredio na TV kuwaelimisha hasa vijana madhara ya uwiz wa mafuta pale magari yanapoanguka na kutiririsha mafuta.....! nawapa pole wale walioguswa kwa namna moja ama nyingine na ajal hio
MAONI
VIJANA tuchape kazi tuachane na tamaa ya vitu vidogovidogo ambavyo vitaleta maafa makubwa kwenye jamii
----------------------
Maoni ya mdau Quinine
Haiwezekani tukio lidumu kwa takriban saa nzima bila jeshi la polisi kujua au kuwa na taarifa, watu wamechota wamepeleka nyumbani na kurudi polisi ilikuwa wapi.
Nina imani kama polisi ingefika mapema eneo la tukio idadi ya vifo ingepungua, ingefika na kuzuia watu wasikaribie tanki kwa kuweka uzio 'yellow tape ' au kutumia mbinu zingine na kama watu wangekaidi wangewatawanya hata kwa mabomu ya machozi.
Msamvu ni mjini na tukio lilipotokea ni hatua change kutoka kituo cha polisi na kituo cha zimamoto. Kwa mazingira ya maeneo hayo, lazima kulikuwa na polisi wa doria au polisi wa kawaida au trafiki, na naweza kusema baada ya lori kuanguka inawezekana kabisa kuna wasamalia wema walipiga simu polisi kutoa taarifa.
Nasema ni uzembe wa polisi kwa sababu, iliwezekana kabisa ndani ya dakika kumi gari la doria mitaani tunaita 'tenga' liwe imeshafika pale na polisi kulinda eneo la tukio.