KELVIN GASPER JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,066 454 Sep 11, 2011 #1 Picha hii nimeipata kutoka blog moja. Haina maelezo. naomba kujua hawa watoto waliolazwa hapo chini ni majeruhi au marehemu? asanteni inasikitisha. Attachments 5.jpg 38.2 KB · Views: 139
Picha hii nimeipata kutoka blog moja. Haina maelezo. naomba kujua hawa watoto waliolazwa hapo chini ni majeruhi au marehemu? asanteni inasikitisha.
Maria Roza JF-Expert Member Apr 1, 2009 6,797 1,567 Sep 11, 2011 #2 Ni marehemu hii picha imeniuma sanaa
Gama JF-Expert Member Jan 9, 2010 13,266 4,716 Sep 11, 2011 #3 Hii mbona iko humu janvini kitambo. Inv- imuvuvzishe kwenye tread ya awali.
arabianfalcon JF-Expert Member Oct 19, 2010 2,285 584 Sep 11, 2011 #4 Inasikitisha sana mwenyezi mungu awape Familia zao moyo wa subra na awalaze maremu wote mahala pema peponi AMIN.
Inasikitisha sana mwenyezi mungu awape Familia zao moyo wa subra na awalaze maremu wote mahala pema peponi AMIN.
Anko Sam JF-Expert Member Jun 30, 2010 3,200 820 Sep 11, 2011 #5 Hapo Vasco da Gamba anawaza moyoni "hakuna mwenye kosa, siku yao ilikuwa imefika tu"!
Ndallo JF-Expert Member Oct 1, 2010 7,619 4,292 Sep 12, 2011 #6 Hata mm kwakweli hii picha ya maiti za watoto imenisikitisha sana hata sina raha! R.I.P
D Dina JF-Expert Member Sep 18, 2008 3,190 1,728 Sep 12, 2011 #7 Mkuu, nafikiri wangekuwa majeruhi sehemu sahihi ya wao kuwepo ingekuwa hospitali na si hapo walipolazwa. Watoto wanasikitisha sana.....Mungu awalaze palipo pema..
Mkuu, nafikiri wangekuwa majeruhi sehemu sahihi ya wao kuwepo ingekuwa hospitali na si hapo walipolazwa. Watoto wanasikitisha sana.....Mungu awalaze palipo pema..
KELVIN GASPER JF-Expert Member Nov 1, 2010 1,066 454 Sep 12, 2011 Thread starter #8 Gama said: Hii mbona iko humu janvikitamboni . Inv- imuvuvzishe kwenye tread ya awali. Click to expand... hapo kwenye red do you mean hizo picha hazina uhusiano na ajali meli ya spice.
Gama said: Hii mbona iko humu janvikitamboni . Inv- imuvuvzishe kwenye tread ya awali. Click to expand... hapo kwenye red do you mean hizo picha hazina uhusiano na ajali meli ya spice.