Ajali ya meli znbr: Wakuu naomba kujuzwa

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Picha hii nimeipata kutoka blog moja. Haina maelezo. naomba kujua hawa watoto waliolazwa hapo chini ni majeruhi au marehemu? asanteni inasikitisha.
 

Attachments

  • 5.jpg
    5.jpg
    38.2 KB · Views: 139
Hii mbona iko humu janvini kitambo. Inv- imuvuvzishe kwenye tread ya awali.
 
Inasikitisha sana mwenyezi mungu awape Familia zao moyo wa subra na awalaze maremu wote mahala pema peponi AMIN.
 
Hapo Vasco da Gamba anawaza moyoni "hakuna mwenye kosa, siku yao ilikuwa imefika tu"!
 
Hata mm kwakweli hii picha ya maiti za watoto imenisikitisha sana hata sina raha! R.I.P
 
Mkuu, nafikiri wangekuwa majeruhi sehemu sahihi ya wao kuwepo ingekuwa hospitali na si hapo walipolazwa.

Watoto wanasikitisha sana.....Mungu awalaze palipo pema..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom