Nilidhania JF ni ukumbi wa Great thinkers, kumbe wachawi watupu wamejazana....
upumbavu katika rangi zake, kwani VODACOM ndio iliyoendesha ile meli hadi ikazama, kwani vodacom ndio waliruhusu meli ya mizigo ijaze abiria, kwani Vodacom ndio walipaswa kugawa lifejackets baada ya meli kutoboka, ujinga mwinge kwani VODACOM NDIO WALIOVUJISHA MAJI YAINGIE MELINI...HATUFIKIRI KWA KINA ...Tunawaza kipuuzi.
Mbona hawaituni TBC iliyopiga densi mchana kutwa, badala ya kuhabarisha WaTZ, mbona hatusikii wale wakaguzi wa meli kule pemba wamechulkuliwa hatua gani?
kwa serikali kujiingiza katika mgogoro huo ni kutowatendea haki Wawekezaji hao na ni uonezi usiokubalika, by the way aja;li imetokea Huko Znz kwa muda ule hakuna alijua kwa hakika ni janga kubwa kiasi katika siku ambayo Miss Tz ilifanyika
Ndugu zangu, huu msiba ni mkubwa sana. Karibu kila kaya Pemba imeguswa na huu msiba. Vodacom were in a very unique position to stop this useless pagentry kwa sababu wao ndio main sponsor. But they chose not to. Kila siku wanatupigia kelele kwenye tv na radio kuwa ndio mtandao unaoongoza Tanzania, wanaongoza kwa lipi? What do they (Vodacom) stand for?
Pili, kuna tofauti sana pale Mkuu wa nchi (haijilishi ni Tanzania au nchi nyingine) anapotanga msiba wa kitaifa. Hivyo nilitegemea kwa multinational company kama Vodacom wajue 'defination' ya msiba wa kitaifa. Watu waliokufa ni zaidi ya 200 na kuna miili mingi bado iko baharini. Narudia huu ni msiba wa kitaifa bendera ziko nusu mlingoti, vodacom wanajua maana yake?
Tatu, Kufanya kosa sio kosa, ila kurudia kosa. Ni zaidi ya masaa 24 sasa tangu hii blunder ya Vodacom itokee, lakini hakuna official statement toka kwa hii kampuni ya simu. Hivi wana communications manager hawa watu? Wanajua maana ya neno samahani? Kama kweli walikosea kwa nini wasiombe msamaha? Kukaa kimya maana yake wanatuambia sisi watanzania kuwa 'they were right' kuendelea na sherehe zao sio?
Nne, Vodacom ni sponsor mmoja, tunaomba mtu mwenye orodha kamili ya sponsors wote aweke hapa jamvini. Tunakata tujue ni kampuni ipi haina utu.
Tano na la muhimu kabisa. Nani alikuwa mgeni rasmi kwenye hii show ya ma-miss? Tunaomba jina lake, na alisema nini kama inawezekana tafadhali. Hawa watu ni wa kufundisha adabu.
wangefuta miss tanzania ok, kama walishindwa kufanya siku nyingine, hiyo ni michezo tu utu kwamba waliokufa waniwateja waona wazalendo wa nchi hii, lakini pia huyo miss tanzania ni mwakalishi wa nchi hakupaswa kutafutwa siku ya msibana kama hatapewa bendera ya taifa kuibeba huyo hatakaye mpa hatakuwa na maswali ya kujibu piaUnashauri wangefanyaje? Wangeweka msiba ofisini kwao??
<br />kazi ipo....ni kweli vodacom wana makosa.......wacha tuwapotezeee
Tumepata taarifa kuwa Smz imekataa misaada ya Vodacom, na tunaambiwa ofisi za Vodacom znz ziko mashakani
umenifanya nicheke, nilikuwa sielewi watu wanalalama nn hapa.Mi naanza kuisusia CCM waliofanya uzinduzi wa kampeini siku ya tukio.
Mkuu wangu, hivi haya mashindano ya u miss si yanaandaliwa na BARAZA LA SANAA TANZANIA - BASATA? Vodacom ni sponsor tu. Hivi sponsor ana mamlaka ya kusimamisha mashndano ya kumtafuta miss tanzania?Ndugu zangu, huu msiba ni mkubwa sana. Karibu kila kaya Pemba imeguswa na huu msiba. Vodacom were in a very unique position to stop this useless pagentry kwa sababu wao ndio main sponsor. But they chose not to. Kila siku wanatupigia kelele kwenye tv na radio kuwa ndio mtandao unaoongoza Tanzania, wanaongoza kwa lipi? What do they (Vodacom) stand for?
Pili, kuna tofauti sana pale Mkuu wa nchi (haijilishi ni Tanzania au nchi nyingine) anapotanga msiba wa kitaifa. Hivyo nilitegemea kwa multinational company kama Vodacom wajue 'defination' ya msiba wa kitaifa. Watu waliokufa ni zaidi ya 200 na kuna miili mingi bado iko baharini. Narudia huu ni msiba wa kitaifa bendera ziko nusu mlingoti, vodacom wanajua maana yake?
Tatu, Kufanya kosa sio kosa, ila kurudia kosa. Ni zaidi ya masaa 24 sasa tangu hii blunder ya Vodacom itokee, lakini hakuna official statement toka kwa hii kampuni ya simu. Hivi wana communications manager hawa watu? Wanajua maana ya neno samahani? Kama kweli walikosea kwa nini wasiombe msamaha? Kukaa kimya maana yake wanatuambia sisi watanzania kuwa 'they were right' kuendelea na sherehe zao sio?
Nne, Vodacom ni sponsor mmoja, tunaomba mtu mwenye orodha kamili ya sponsors wote aweke hapa jamvini. Tunakata tujue ni kampuni ipi haina utu.
Tano na la muhimu kabisa. Nani alikuwa mgeni rasmi kwenye hii show ya ma-miss? Tunaomba jina lake, na alisema nini kama inawezekana tafadhali. Hawa watu ni wa kufundisha adabu.
Kwa hiyo wewe hapa unataka kusema thamani ya marehemu waliofariki ni ndogo kuliko gharama za kuendesha miss Tanzania? Hivi wewe siku ya harusi yako ikatokea mjomba wako amefariki mtaendelea na "sherehe"?No offence kwa znz atakayejibu haya maswali
2.ile miss tz ilipangwa toka mwezi wa 6 kuna watu walitoka mbal kuja kwa hii ishu je nani angegaramikia hasara yote+usumbufu?
Kila mtu ataadhibiwa kwa nafasi yake. Hao CCM wasubiri adhabu yao kwenye sanduku la kura.3.je igunga ccm walifanya nn?
Kwani nani kasema kazi zote zisimame? Kinachopigiwa kelele ni burudani kuendelea wakati kuna msiba mzito4.vodacom walikuwa wadhamini wa hii shehere ina maana ikitokea majanga kama haya kazi zote zisitishwe kwa muda?
Mkuu wangu, hivi haya mashindano ya u miss si yanaandaliwa na BARAZA LA SANAA TANZANIA - BASATA? Vodacom ni sponsor tu. Hivi sponsor ana mamlaka ya kusimamisha mashndano ya kumtafuta miss tanzania?
Ligi kuu ya vodacom iliendelea jana kama kawaida. Vodacom walikuwa na uwezo wa kuisimamisha ligi? yeye si sponsor tu ...anayasimamia ligi ni TFF ..!
Ndo maana nilihoji vodacom wana kosa gani? Ni kweli hilo shindano lilikuwepo lakini voda walidhamini tu (na walikuwepo wadhamini wengine pia) na kama kawaida makubaliano ya udhamini yalifanyika muda mrefu uliopita na kila mdhamini alitimiza lililompasa kwa mujibu wa mikataba/makubaliano yao na waandaaji wa Miss Tanzania (Kamati ya Miss Tanzania inayoongozwa na Lundenga).
Kama ni lazima kulaumu, basi ilaumiwe Kamati ya Miss Tanzania ambao ndo wako licenced kuendesha shindano hilo.
upumbavu katika rangi zake, kwani VODACOM ndio iliyoendesha ile meli hadi ikazama, kwani vodacom ndio waliruhusu meli ya mizigo ijaze abiria, kwani Vodacom ndio walipaswa kugawa lifejackets baada ya meli kutoboka, ujinga mwinge kwani VODACOM NDIO WALIOVUJISHA MAJI YAINGIE MELINI...HATUFIKIRI KWA KINA ...Tunawaza kipuuzi.
Mbona hawaituni TBC iliyopiga densi mchana kutwa, badala ya kuhabarisha WaTZ, mbona hatusikii wale wakaguzi wa meli kule pemba wamechulkuliwa hatua gani?
kwa serikali kujiingiza katika mgogoro huo ni kutowatendea haki Wawekezaji hao na ni uonezi usiokubalika, by the way aja;li imetokea Huko Znz kwa muda ule hakuna alijua kwa hakika ni janga kubwa kiasi katika siku ambayo Miss Tz ilifanyika
Na wewe kweli ni Great Thinker! Hakuna mtu atakaye refute hilo! Wengine wote tuliobakia ni 'Wachawi' tu!Nilidhania JF ni ukumbi wa Great thinkers, kumbe wachawi watupu wamejazana....