Ajali ya Meli: Kikwete na hoja ya upimaji DNA

nadhani mimi nina nafuu sana kwa hili! huwa simsikilizi kabisa huyu jamaa. naamini najiweka huru na kupunguza stress kuliko kujua huyu jamaa kafanya au kasema nini. nisikitikacho tu ni kuwa mitkasi yangu ya maisha inafanya kuwa migumu sana na yenye pato kidogo zaidi kwa uwepo wa huyu msanii madarakani...tena kimabavu
 
Back
Top Bottom