Ajali ya Meli: Clouds FM na msaada wa maboya

lakini unajua kwamba znz hawaitambui sumatra kama chombo cha muungano??

kwa hiyo?
hahaha...kwali ujinga mzingo@ Eshacky

kwa hiyo?

wewe ni mfanyakaz wa clouds nini, hapo nini hakieleweki sasa?? umiza kichwa japo kidogo kitu kama hakitambuliwi kitakuaje na mamlaka katika utendaji wa kazi zake??

mkuu mbona nachoka, yani kuna watu wengi sana wanaofiria kwa kutumia masaburi na huyo mwita25 ndo kabisaa namba 1, tena masaburi yamemjaa mwili mzima.

wewe ni mfanyakaz wa clouds nini, hapo nini hakieleweki sasa?? umiza kichwa japo kidogo kitu kama hakitambuliwi kitakuaje na mamlaka katika utendaji wa kazi zake??
wale wajinga wa clouds wanajifanya kuwa na uelewa wa kila kitu from social, political econo.+science
mara utamsikia mjinga wa clouds akikosoa results generated from genetic engeneering, mara wakielezea Atomicity yaan ni wapuuzi sana

Kwahiyo wewe ulitakaje? Huoni kama wamechukua initiative sasa wewe unataka wahoji chanzo cha ajali kwani wao wamekuwa Polisi?

Alichomaanisha ni kwamba hakuna jahazi linaloruhusiwa kwenda baharini bila Maboya, kuchangisha ili kununua maboya ni makosa kwasasa hayo utakayonunua utayaweka wapi? kila baada ya miezi sita wakaguzi wanapita kuangalia kama vifaa vyote unavyo ikiwemo vifaa vya zimamoto, huduma ya kwa kwanza pamoja ubora wa chombo chenyewe. Sasa wao hayo maboya watampa nani au wanataka kila Mtanzania atembee na boya anapoenda kupanda jahazi kama ilivyo kwa mtu kuwa na umbrella wakati wamvu!

wewe ni mfanyakaz wa clouds nini, hapo nini hakieleweki sasa?? umiza kichwa japo kidogo kitu kama hakitambuliwi kitakuaje na mamlaka katika utendaji wa kazi zake??

sasa hapo tatzo c serikal, hawajatimiza wajibu wao. Ha ha ha, we unaanza kuwalaumu wachangisha ma life jacket. Watanganyika bwana.

wanachokifanya ni upumbavu, hivi ni lini watanzania tutaacha kujiongezea laana?? hawa wanashhindwa kuinyooshea kidole serikali kwa sababu ya maslah yao binafsi, hawajaanza leo kujikombakomba kwa serikali....kifupi hii ajali nzima inaonyesha kuna mazingira ya kifisadi kati ya serikali na wamiliki, kwa sababu kama serikali ingesimamia sheria za usafirishaji hiyo meli isingekua inabeba abiria....haina credibilities zozote za usalama wa abiria wake, ina maboya 200 wakati inabeba watu zaidi ya 600, katika mazingira hayo ilikuaje ikaruhusiwa kutoka bandari ya dar??

the govt is corrupt thats all, lakini clouds hawawezi kusema coz wanasurvive kwa kujikombakomba tu....

sasa hapo tatzo c serikal, hawajatimiza wajibu wao. Ha ha ha, we unaanza kuwalaumu wachangisha ma life jacket. Watanganyika bwana.

soma the whole storry usiwe kama wale wasomao mstari mmoja wa bible na kuanza kuukashifu. jiulize hiyo post ilitokea wapi na kwanini....AMKAAAAAAAAAAAAAA naona unasinzia hapo kwenye avatar hahaahahahaahaahhah

soma the whole storry usiwe kama wale wasomao mstari mmoja wa bible na kuanza kuukashifu. jiulize hiyo post ilitokea wapi na kwanini....AMKAAAAAAAAAAAAAA naona unasinzia hapo kwenye avatar hahaahahahaahaahhah

ebu soma post zangu zote utajua nachoongea! Hakuna nayemsifu hapa, nacho sema kila mmoja ana wajibu wake katika jamii hii kuhakikisha hizi ajali zisizo na kichwa kutokea, ukianzia serikali, wamiliki wa vyombo vya usafiri na mwisho sisi wananchi. Mf. Kuna vivuko vya serikali ambavyo vina upungufu wa life jacket, huoni sis km wananchi tutaweza kusaidia kwa namna moja au nyengine kuongezea idad baada ya kujifunza kutokana na janga hili, kwa hiyo hilo wazo la clouds si la kipumbavu kihivyo, km unavyotaka kuaminisha watu.

tunaamini katika vitu viwili tofauti mkuu, mi naamini dawa ya jipu ni kulikamua wewe unaamini ni kunywa panadol, hatutaweza elewana kamwe.

Hao Clouds wana jipendekeza sana kwa Magamba na wanataka kuwadhulumu watu tu na ni wezi wa kutupwa mi nasubiri kifo cha Clouds tu siipendi kama nini.

Hata mimi sielewi hii issue. Kwanza nani kasema ajali ilisababishwa na upungufu wa life jackets? Au mimi niko nyuma. Kwa nini hawajanunua seat bealts na watu wanakufa kila siku kwa ajali za barabarani?

La pili, meli zisizokuwa na life jackets zinauzwa, au kutengenezwa wapi? Zinaruhusiwa kufanya biashara bila life jackets katika nchi gani za majuha wanaongozwa na coconut heads?

Clouds FM wanajipendekeza kwa serikali na hasa JK ndio maana kama chombo cha habari wanashindwa kabisa kuwa neutral na kuwasaidia Watanzania kuelewa matatizo yao yanasababishwa na nini. Kwa bahati mbaya hii ndio tabia ya vyombo vyote vya habari - radio na TV. Hawana msaada wowote.

Clouds muwe na upeo wa kufikiria maboya kila chombo kina taratibu zinachokipitisha. Kama umeongeza abiria na mizigo unategemea muujiza wa kuelea. Punguza akili za kike kwamba ukichuchumaa umamaliza yote.

Yaani humu kuna watu wana mawazo ya kipuuzi sijapata kuona. Kila kitu mnadhani ni siasa tu! Hao Clouds wanajipendekeza kwa nani? ili iwe nini? Kuna mambo huwa tunawaza vizuri lakini mengine ni pumba tu

...hapa tungewa tunatumia majina halisi,ungekuta ni watangazaji wa clouds na wa east afrika wanabishana,hebu muendele wasikilizaji tusikie sisi

hii tabia ya kupenda sifa hii itakuja kuwapeleka watu pabaya. kama wao ni waandishi wahabari walio makini kweli ni lini wamewahi kuchunguza mambo ya usafiri hapa nchini pamoja na ajali zote zinazotokea kila siku?? tatizo linapotokea ndo kila mtu anajifanya kutahamaki, waendelee kutoa burudani tu wala wasitake kujibebesha mizigo wasiyoijua.

Wasiishie hapo wanunue na meli mpya maana nasikia iliyozama ilishakuwa chakavu. Tabia ya kutafuta jina kupitia majanga inaelekea kuwa sugu.

Kama wako serious kusaidia basi wawalenge waathirika kwa msaada endelevu kama vile kuwastawisha kinyanja zote maisha wale wote waliopoteza watu wanaowategemea!

Mu hali gani wana jamvi, clouds wamekua wakitangaza wananchi kuchangia fedha kwajili ya kununu life jaket bila kukosea 10,000pcs kwaajili ya vyombo vya mjini kwa anajua anijuze hivi vyombo vya majini havina wamiliki? je si sheria ya meli na botu kuwa na hizo lifejaket ili ziruhusiwe kufanya safari zake? Kwani nimeifananisha na mtu huwa na daladala yake tairi zikiisha anaomba msaada watu wamchangie. Kwa anaejua anielimishe pls

NAWAKILISHA

[Post Marker, please ignore. Thanks !]

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…