Ajali ya manufaa

Hivi hizo ni nini??
Kama ni pesa basi ujue polisi walishafunga utepe wao na wanalinda kwa silaha kali sana...

Hakuna binadamu anayeweza chukulia poa pesa hio
 
Hela nyingi Kama hizo huwezi safirisha kiholela na mgali Kama huo labda Kama hakuna uharifu was Hali ya juu..
 
Hela nyingi Kama hizo huwezi safirisha kiholela na mgali Kama huo labda Kama hakuna uharifu was Hali ya juu..
Intelijensia ilikuwa kazini sema tu ajali imeharibu, umeona gari lilivyo andikwa?
 
Sio pesa hivyo ni visanduku vya kuhifadhia kuku na kuku wenyewe....
 
Hizo ndiyo ajali za kukimbilia siyo zile nyingine ngumu ngumu
 
Pesa kwenye gari la Kuku? huo uzembe hata huku kusini mwa jangwa la Sahara hatujawahi kufanya sembuse huko kulikoungua shoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…