Ajali ya judge zhongua dar! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya judge zhongua dar!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mchaga, Oct 7, 2010.

 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  P1030500_resize.JPG P1030485_resize.JPG P1030479_resize[1].JPG P1030487_resize.JPG P1030480_resize.JPG P1030497_resize.JPG P1030484_resize.JPG P1030488_resize.JPG P1030486_resize.JPG P1030501_resize.JPG P1030494_resize.JPG P1030493_resize.JPG P1030490_resize.JPG
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Maskini... Nimeona katika gazeti la Mwananchi dereva taxi akilalamika wanawe watakula nini baada ya kukatwa mguu wa kushoto na kutakiwa kusubiri miezi 6 Hospitalini ili apate kupona mguu wa kulia uliovunjika mara 2... Amelalamika kuwa Jaji Rugazia Hajaenda kumjulia hali tangu apate ajali...
   
 3. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa nchi kama Ujerumani huyu Jaji anakuwa responsible kugharimia familia ya huyo tax driver kwa maisha yao yote muda wake wote wa kuishi hapa duniani maana hawana njia nyingine ya kupata kipato tena. Sijuwi kwa TZ suala kama hili linachukuliwaje. Mbaya kabisa.
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna gari moja picha zake nyingi au la kwako mkuu?
   
 5. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  I wish ingefanyika na Tz, inasikitisha sana!
   
 6. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Alikuwa anatoka wapi na ajali ilikuwaje? Hebu data please
   
 7. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hapana mkuu samahani kama nimekukwaza kwa picha zake nyingi
   
 8. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Alikuwa na mke wa m/kiti mmoja wa ccm mkoa ambaye anatoka familia nzito na yenye kuheshimika nchini. Blow job style. Ndio maana mkewe alimchapa vibao mbele ya polisi baada kutoonekana home kwa muda mrefu. Mjivuni na mvunja ndoa za watu na mdahririshaji wa surboardinates wake especially waliochini yake. Hafai
   
 9. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Sheria zinazowalinda majaji huenda zikazuia Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Projesti Rugazia, asipandishwe mahakamani kujibu shitaka la kusababisha ajali ambayo ilisababisha kifo cha mtu mmoja, kujeruhi na kuharibu mali.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Usiku wa kuamkia juzi, gari namba namba T.780 ACB aina ya Toyota Land Cruiser Prado lililokuwa likiendeshwa na Jaji Rugazia (56), mkazi wa Ada Estate Kinondoni, jijini Dar es Salaam, liliua mtu mmoja, kujeruhi watatu na kuharibu magari matano.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleimani Kova, alithibitisha kutokea kwa ajali hiyo juzi na kwamba gari la Jaji Rugazia lilisababisha ajali hiyo baada ya kuacha njia na kuparamia magari matano yaliyokuwa yameegeshwa kandokando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi maeneo ya Victoria karibu na mgahawa wa Wachina wa Zhonghua Garden.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Kova alisema ajali hiyo ilitokea saa 8:baada ya gari hilo kuacha njia na kuelekea kushoto mwa barabara na kuyagonga magari matano yaliyokuwa yameegeshwa kando kando ya barabara.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Magari yaliyogongwa na kuharibiwa kuwa ni T.776 AZK Mitsubishi Pajero, T.213 AZR Toyota Spacio, T.104 BHY Daihatsu Terios, T.395 AKU Toyota Corolla na T.312 ACB Suzuki Escudo.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Aliongeza kuwa gari la Jaji Rugazia pia liliwagonga watembea kwa miguu wanne ambao ni Salehe Omary (30), mkazi wa Msasani ambaye baadaye alifariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mwananyamala na kuongeza kuwa mwili wake unahifadhiwa hospitalini hapo.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Waliojeruhiwa katika ajali hiyo kuwa ni Issa Iddi (30), mkazi wa Kinondoni, Nassibu Hassan Kiruwa (28), mkazi wa Kitunda ambao wamelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) wakipatiwa matibabu wakati mtu mwingine aliyetajwa kwa jina moja la Rahma.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa mujibu wa Kamanda Kova, Jaji Rugazia alifikishwa katika kituo cha polisi Oysterbay kwa ajili ya mahojiano na kwamba baada ya uchunguzi kukamilika Jaji Rugazia atachukuliwa hatua za kisheria.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Jana Kova alisema bado uchunguzi huo unaendelea na kuahidi kutoa taarifa leo.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Hata hivyo, baadhi ya wanasheria wamesema taratibu zilizoko haziruhusu jaji kushitakiwa mahakamani akiwa na wadhifa wake.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Akizungumza na NIPASHE kwa njia ya simu, mwanasheria mmoja (jina lake limehifadhiwa), alisema hakuna sheria inayoruhusu jaji kusimama kizimbani mbele ya hakimu.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Mwanasheria huyo alisema hakuna sheria inayoweza kutumika kumpeleka jaji kusomewa mashitaka mbele ya hakimu.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Naye mwendesha mashitaka wa Jeshi la Polisi ambaye aliomba jina lake lisiandikwe gazetini, alisema hakuna mtu aliye juu ya sheria, lakini sio rahisi jaji kusomewa mashitaka mbele ya hakimu, ambaye anamzidi kwa wadhifa.[/FONT]
  "[FONT=ArialMT, sans-serif]Labda avuliwe madaraka ya ujaji kama ilivyo kwetu sisi polisi, lakini vinginevyo haiwezekani hakimu atasikilizaje kesi ya jaji ni vigumu sana... tuache tusubiri itakavyokuwa," alisema mwanausalama huyo wa raia nchini.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Msajili wa Mahakama ya Rufani, Francis Mutungi, hakupatikana jana kuzungumzia suala hilo kutokana na kuwa safarini.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Kaimu Msajili wa Mahakama ya Rufani, John Mgeta, alipopigiwa simu na NIPASHE kuzungumzia suala hilo, simu yake ilikuwa ikiita muda mrefu bila majibu baada ya mwandishi wetu kuelezwa kuwa alikuwa na shughuli nyingi nje ya ofisi.[/FONT]
  [FONT=ArialMT, sans-serif]Jaji Mkuu, Austino Ramadhani, alikuwa safarini na katibu wake, alisema suala hilo linaweza kuzungumziwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa Tanzania.[/FONT]

  SOURCE: NIPASHE
   
 10. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  nani?uyo judge
  kuna ajali ambazo ata unashindwa ufanyeje,na hapo uyu driver tax ndo familia yake inakufa njaa,au watoto ndo "watafute" pesa ss,Tz sheria za barabaran zimetushinda
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  JF... where we dare talk openly

  hivi kuna nani sasa aliye msafi?
   
 12. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  alikuwa na mke wa makongoro nyerere ambaye ni judge pia swali la kujiuliza ni jee walikuwa wanatoka wapi usiku mkubwa huo?
   
 13. Butterfly

  Butterfly Senior Member

  #13
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama yangu weeee.......................!!! Makubwa hayo!!!!
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  mmmmmh madogo yana nafuu shangazi imekuwaje tena jamani???mzee imeshaanza superget??
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Aiseeeeee duh,,yaaani hii ajali awa watu laazima wametoka kutenda dhambi sio hivi hivi unajua mungu akitaka kukuonyesha sio laz\ima akulaze monchwari shuguli inaanza hapa hapa dunian..nimesoma mkewe kampiga kibao hii ni aibu kampigia wa nini??
  Nyie majaji acheni kuaribu ndoa za watu hata kama mnakumbushia mambo yenu ya udsm..sio vyema mjue mkisha oa ama kuolewa mmiliki ni aliefunga agano..msidharau watu kwa shida zao..maskini laiti nyerere angekuwepo na kusikia huu upuuzi loh??

  Hivi jamani nani atamlipa mwenzake???
   
 16. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyu mke wa Makongoro yuko kwenye umri wa 50's. Bado anaendekeza libeneke la BJ kwenye gari? Kuna hadithi huku Arusha ya padri mmoja alikufa miaka ya 1990's kwa ajali pamoja na hawara yake, padri ndiye alikuwa anaendesha gari, na watu walipokuja kutoa maiti zao kwenye gari walikuta naniliu ya padri ikiwa imekatikia mdomoni mwa yule hawara. Hivi unaweza ku-concentrate kuendesha gari huku unafanyiwa BJ? Mambo mengine ni hatari sana ndiyo maana hata baadhi tunaambiwa "don't try at home".
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh pole sana wote waliokumbwa na ajali hii mbaya
   
Loading...