Nakazia hoja. Hii labda inaweza kuwa ndo kauli au lugha ambayo bodaboda wataielewa. Ajali hazijaanza leo lakini hao bodaboda hawasikii na wala hawajirekebishi na wala hawajifunzi na inaonekana tunampigia mbuzi gitaa - ni majanga tupu - Wamekaza shingo.Ni mbaya lakini itawafundisha wengi watakaoiona. Hasahasa bodaboda
Mkuu, hao jamaa ni shida. Hawasikii kamwe -wamekaza shingo.Nadhani sasa wanatakiwa wafikirie mara 2
Una roho mbaya!!Hawa jamaa acha wafe tu michosho sana
Labda inawezekana lakini bado hajafikia kiwango cha roho mbaya walicho nacho hao maBoda boda. Wanaweza kugonga say kwa bahati mbaya lakini wanakimbia, wanakutelekeza wanakuacha ujifie mwenyewe hapo pembeni ya barabara endapo hutapata msaada.Una roho mbaya!!
Watu ni wajinga sana Mkuu yani mtu anadrive/ride/tembea kama yupo korido za chumbani kwakeLeft keeping rule alwayz inaokoa sana.
Ukikutana na nunda lipo speed sana halafu lipo katikati ya barabara au limezidi sana kulia kwake halafu na wewe umezidi kulia kwako,kifuatacho ndio kama hiyo ajali
Sasa chanzo cha moto ni baada ya ajali tank likamlipukia auMkuu, hao jamaa ni shida. Hawasikii kamwe -wamekaza shingo.
Ila bodaboda wana wenge sana😂😂 kweli we mzee wa kupambania 😂
Chombo cha moto...
Ni hatari sana loChombo cha moto...
Mimi hii rule wakati nikidrive huwa inaniokoa sana,kuna wakati,najiulizaga hivi nisingezidi kushoto kwangu ingekuaje baada ya kupishana na careless driverWatu ni wajinga sana Mkuu yani mtu anadrive/ride/tembea kama yupo korido za chumbani kwake
Hao fire wenyewe wanawaza moto ukiwaka kwao watamuita nani? Endelea kushangaaKuzaliwa tz ni michosho sana
Watu hawajui hata kukabiliana na emergency,mwanzo nilidhani ni vijijini huko, sasa hapo misungwi ajali imetokea barabarani magari yamejaa wanazima moto na mchanga na maji kweli?
Fire extinguisher kwenye magari ni kuajili ya kuonyesha traffic officers? Mbona magari yapo nilitegemea Kuona mtu anakuja na fire extinguisher
Ndugu uko na moyo katili sana....je huyo abiria naye umemjumlisha?Hawa jamaa acha wafe tu michosho sana
Ajali hapati bodaboda tu. Siku zote inapotokea janga lolote common sense ni kutoa msaada kwa waliofikwa na tukio. Sasa kama unaona mtu anateketea kwa moto badala ya kusaidia wewe una record video una sifa ya kuwa mtu au limtu?Boss mbona unawaita waTz wenzako watu wa hovyo ilhali na ww ni mTz? halafu pia mtu unamwita limtu kana kwamba hafai au hatoshelezi viwango vya kuwa ni mtu kamili?
Sioni kama huyo aliyerocord tukio kama amekosea sana kwa sababu inaelekea bodaboda darasa lao ni moja -Shingo ngumu. Leo anapata ajali huyo, kesho anakufa yule n.k.n.k. lakini wap! hawajifunzi wala hawabadiliki - utadhani ni sifa kwao.
Sidhani kama mtu anahitaji kupitia JKT ili aweze kutoa msaada. Kwanza jamaa anaonekana anaelewa mambo mfano anawaambia wasimwage maji kwakuwa ni moto wa petrol. So huyo angalau ana idea ya fire fighting lakini sasa ndio hana msaada zaidi ya kuchukua video.Vijana hawajapita jkt...vijana wa kitanzania ni wazembe sana
Hongera sana mkuu, unajal uzima wako na ustawi wa familia. Hawa wehu muda mwingine ni kuwakimbia tu uwaachie barabara ukishindana nao wanakuua.Mimi hii rule wakati nikidrive huwa inaniokoa sana,kuna wakati,najiulizaga hivi nisingezidi kushoto kwangu ingekuaje baada ya kupishana na careless driver
Always nikikaribia kona yoyote ile ambayo mbele sioni lazima nijae kwangu kushoto,halafu unakuta kama Mungu tu ukifika tu,mwehu huyo kaingia hadi kwako sema anashindwa kukugonga kwa kuwa umebana kushoto zaidi