Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Wakuu!
Kuna behewa lililokuwa limebeba machuma limeanguka hapa Kituo cha SGR, Dar es Salaam na kusababisha foleni kubwa ya magari eneo hilo.