AJALI: Watu sita wafariki baada ya Lori kuparamia magari matatu

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Usiku wa kuamkia leo watu 6 wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya Lori kufeli breki katika mlima Mbalizi mkoani Mbeya na kuparamia magari matatu aina ya Coaster, Hiace na Noah.

 
nyie ogopeni ukimwi unaokwepeka mi naogopa ajali isiyokwepeka
 
mkuu sio zaidi ya sita maana ile coaster imepigwa upande mzima na inasadikika karibu wote wamekufa pia imewagonga na waenda kwa miguu na gari zilizosombwa na hilo lori ni tano ila mkuu umeorodhesha tatu hakika ilikuwa ni ajali mbaya sana huku vilio na majonzi bado vinaendelea ewe mwenyezi mungu waweke mahali pema peponi wale wote waliopatwa na msiba na uwape afueni ya mapema wale wote waliojeruhiwa katika ajali hii ameen
 
watu waliokufa katika ajali hii ni zaidi ya kumi tunajihidi kutafuta habari za uhakika zaidi na muda huu nipo eneo la tukio
 
Wala vumbi mnakufa kama sisimizi :D:D:D:D:D:D:D:D.

Si juzi tu hapa mmekufa kama 40 hivi kwenye ile ajali ya yale magari mawili.....au mlikufa wangapi?
 
Back
Top Bottom