WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,236
bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihidimiweNinasikitika kuawaarifu kua kuna ajali mbaya imetokea Ubongo Riverside ambapo gari aina ya lori limeacha njia na kugonga watu.
Kwa uchache inasemekana maiti 20 zimeokotwa eneo la ajali.
Habari zaidi zitawajia hivi punde
Hii sasa ni freemason ila ngoja wale wakombozi walioko mtwara watatua hapo Dar na hata huku kanda ya kaskazini na patachimbika. Poleni wote waliofikwa na mauti na marehemu wote walale kwa Amani ya bwana!
Nimepita hapo mahali hivi punde. idadi ya marehemu haiwezi kufikia hiyo idadi ulitoitaja Mkuu

unahuakika na unachosema kuwa ni watu 20? usije kutupa habari ambazo siyo haitapendezaNinasikitika kuawaarifu kua kuna ajali mbaya imetokea Ubongo Riverside ambapo gari aina ya lori limeacha njia na kugonga watu.
Kwa uchache inasemekana maiti 20 zimeokotwa eneo la ajali.
Habari zaidi zitawajia hivi punde
Nimepita hapo mahali hivi punde. idadi ya marehemu haiwezi kufikia hiyo idadi ulitoitaja Mkuu
mimi nilikuwepo tanker lilkuwa linatoka ubungom kuelekea buguruni kufika kituo cha daladala cha riverside likakuta daladala limepaki njiani na kwa kuwa lilikuwa mwendo kasi likashindwa kufunga breki likapanda ukuta na kugonga gari zilizo kuwa kwenye foleni zinatoka buguruni kuja ubungo,yule mwenye daladala mwenye makosa kakimbia,ajali ni mbaya sana kuna mama kakatika kichwa hapohapo,lecturer mmoja wa chuo kikuuu namfahamu kwa sura amepona pia ila amenusurika na gari yake.
asee inasikitisha sana na hii ndio idadi ambayo nami nimeisikiaMkuu kwa taarifa niliyoipata toka kwa shuhuda mtu mmoja alikuwa bado kabanwa ndani ya gari yupo hai..na watu watatu wamefariki dunia mmojawapo akiwa mjamzito ( kichwa chake kimetanganisha na kiwiliwili )