Ajali: Treni yaangusha Mabehewa maeneo ya Vingunguti

Ajali: Treni yaangusha Mabehewa maeneo ya Vingunguti

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Tren yaangusha behewa just now maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya ffu wamesha wasiri watu wanakula bakora mtindo mmoja hatakiwi MTU eneo hilo kulikua na kontena za mhamed enterprises na Azam. Angalia Picha. CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.
attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • 1414583412551.jpg
    1414583412551.jpg
    47.6 KB · Views: 2,460
  • 1414583437116.jpg
    1414583437116.jpg
    64.5 KB · Views: 2,365
  • 1414583460176.jpg
    1414583460176.jpg
    56.9 KB · Views: 16,364
  • 1414583504708.jpg
    1414583504708.jpg
    63 KB · Views: 16,387
  • 1414583533074.jpg
    1414583533074.jpg
    53.8 KB · Views: 3,113
  • 1414583563678.jpg
    1414583563678.jpg
    92.1 KB · Views: 3,003
  • 1414583588241.jpg
    1414583588241.jpg
    39.4 KB · Views: 2,691
  • 1414583608679.jpg
    1414583608679.jpg
    68.5 KB · Views: 2,611
  • 1414583639458.jpg
    1414583639458.jpg
    60.8 KB · Views: 2,453
  • 1414583663727.jpg
    1414583663727.jpg
    60 KB · Views: 2,543
Hapo ndo bongo nashindwa kuielewa. Sasa chuma kimechakaa namna hiyo,hakuna repair wala nini tangu enzi za ukoloni alafu ajali isitokee kweli? Hapo tu mvua haijanyesha,balaa litazidi kutokea
 
#lucy kwa uchunguzi wangu Wa haraka nimegundua tatizo lilikua kwenye tren yaani moja ya behewa pin lock yake ilikua na ufa sasa Leo ndio ilikua 40 yake kukatika pin lock iliyo sababisha ni hii ila angalia uongo wao baadae kwenye habari...
 
Oho! Sasa yule muwekezaji wetu wa Treni ya airport ataipitisha wapi? Ni kwenye mataruma kama hayo?
 
tanzania kuna ajali za kujitakia sana hiyo reli inaonekana imeshazeeka kama ccm.
 
Naiomba serikali ifanye ukaguzi wa reli yote kujua wapi kuna matatizo ili ifanyiwe marekebisho.
 
Kwa hiyo ile ya Mwakembe leo haitafanya kazi?au siyo wakuu?nidandie daradara kabisa..
 
Kila kinachoanguka watanzania wanakimbilia sijui likianguka gari ka maji taka watakimbilia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom