Zamani Ndiyo Ilikuwa Watu Wanaendesha Tu Magari
Sasa Hivi Hutakiwi Kuangalia Una Haki
Tunahimizwa Defence Driving, Iwapo Mwenzako Kakosea Na Mnachotakiwa Kufanya Popote Ni Kuepusha Ajali!!!
Kwa Picture Yako Na Inavyotakiwa Unalipita Gari La Mbele Yako Kama Tu Usalama Upo, Hapo Hatutaangalia Mistari Inakuruhusu Ama Laa!!
Maana Mistari Tutasema Number 3 Inamruhusu Halafu Number 3 Inamkutaza
Lakini Je Ni Salama Kwa Wote