Ajali Raha Leo mto Wami

Ajali Raha Leo mto Wami

hili basi si kuna lingine juzi juzi hapa liliripotiwa kutumbukia mto huo huo..........?....au naota jamani....?
 
hili basi si kuna lingine juzi juzi hapa liliripotiwa kutumbukia mto huo huo..........?....au naota jamani....?
.....hujaota; ata na mie Bus la juzi kudumbukia niliipata, wakati naona uzi huu nilifikiri ndo huo wa juzi umejirudia kumbe Siyo; haya ma-Bus ya Raha Leo nayo yameishachoka uwezo wa kupanda mlima ni tabu lakini pia Breki ni matatizo. Pole kwa waliopata madhara.
 
Mungu atende miujiza......hilo basi lilikuwa linatoka dar au....... ?
 
Mungu awasaidie inabidi madereva wawe makini sana la sivyo haya hayataacha kujitokeza...
 
Madereva wa sasa ni viroba kichwani bonge la njia iweje aingie mtoni? Dereva kalewa gongo haa sawa hyo?
 
Dah.......hivi ukitumbukia huko mto Wami.....ni mbinu gani za kujiokoa ukipata hiyo nafasi.......,?
 
Hizi taarifa siyo za kweli hamna gari ya raha leo iliyopinduka wami..m:uu ni uzushi kubwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wakuu somen vizuri kichwa cha habari.kasema yeye ndio amedumbukia mtoto wami
 
Mbna tunatishiana sasa mm nko Tanga kwa mapumziko ya Idd sasa nitarudi vp maana uoga ushaniingia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mbna tunatishiana sasa mm nko Tanga kwa mapumziko ya Idd sasa nitarudi vp maana uoga ushaniingia

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Tumekusoma km huko ta kwa mapunziko!!!
 
"KICHWA CHA HABARI"
Basi la Rahaleo nimedumbukia mto Wami.

Hapa hii imekaaje mtoa mada,kwamba ni wewe ndio umedumbukia mto Wami na unapenda hii taarifa iwafikie Rahaleo?
Au ni matatzo tu ya kiuandishi?
 
Jamani mbona mimi nimepita hapa wami mara kadhaa juzi, leo sijaliona hilo basi na wala hakuna dalili yoyote ya basi kutumbukia? Mind you huu mto una kingo pembeni hivyo kila mara inapotokea bahati mbaya gari limetumbukia unaona kingo zimekatika....sioni dalili hiyo kiukweli.
 
Source ni mimi mwenyewe nimepita hapo sasa hivi,sijasimama kuchukua taarifa za madhara sababu na mimi nina mgonjwa nakimbia kuokoa maisha yake.

Sasa huo muda unaotumia kupost uzi humu si ndo mgonjwa atakufa sasa
 
Back
Top Bottom