Ajali Raha Leo mto Wami

Ajali Raha Leo mto Wami

"KICHWA CHA HABARI"
Basi la Rahaleo nimedumbukia mto Wami.

Hapa hii imekaaje mtoa mada,kwamba ni wewe ndio umedumbukia mto Wami na unapenda hii taarifa iwafikie Rahaleo?
Au ni matatzo tu ya kiuandishi?

Hahahahaahahaha! Dah umenifanya nicheke sana!kweli jamaa anaipenda JF,yan pamoja na kudumbukia mto wami wenye mamba kaweza kuanzisha thread!duh

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hizi taarifa siyo za kweli hamna gari ya raha leo iliyopinduka wami..m:uu ni uzushi kubwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Ina maana mtu anaweza akaibuka na story ya ajali kama hii bila uhakika? Kama mleta uzi huu amekurupuka basi MODS wafanye kazi yao..
 
dah!sisi kila siku majanga tu,mungu atunusuru sana kwa kweli
 
hili basi si kuna lingine juzi juzi hapa liliripotiwa kutumbukia mto huo huo..........?....au naota jamani....?
True hata mimi nilisoma humu jf juzi tu. Au shetani alikuwa anapanga haya
 
Unamuwahisha mgonjwa wewe ndio dereva au?
na kama wewe ndio dereva umewezaje kupost thread?
au ulisimamisha gari?
Na kama ulisimamisha gari kwanini hukutoa msaada au kuchukua habari kwa kina ili utujuze kinagaubaga?
Na kama umepost wakati unaendesha gari ukipata ajali utamlaumu nani?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hizi taarifa siyo za kweli hamna gari ya raha leo iliyopinduka wami..m:uu ni uzushi kubwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Tukiwa tunapata wazushi kama hawa 5 tu Tanzania itakuwa balaa.
Mtu anakurupuka tu na kutoa uzushi. Daaaah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unamuwahisha mgonjwa wewe ndio dereva au?
na kama wewe ndio dereva umewezaje kupost thread?
au ulisimamisha gari?
Na kama ulisimamisha gari kwanini hukutoa msaada au kuchukua habari kwa kina ili utujuze kinagaubaga?
Na kama umepost wakati unaendesha gari ukipata ajali utamlaumu nani?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu,sikufanya matendo hatarishi namna hiyo,sikuwa naendesha mimi.
 
Jamani mbona mimi nimepita hapa wami mara kadhaa juzi, leo sijaliona hilo basi na wala hakuna dalili yoyote ya basi kutumbukia? Mind you huu mto una kingo pembeni hivyo kila mara inapotokea bahati mbaya gari limetumbukia unaona kingo zimekatika....sioni dalili hiyo kiukweli.

Nyie wang'o kucha mko suspicious sana,au unadhani hii ijari itakuwa politiced? Ajari hiyo inawezekana imetokea hapo mida ya saa tatu usiku,sasa wewe sijui ulipita saa ngapi?
 
"KICHWA CHA HABARI"
Basi la Rahaleo nimedumbukia mto Wami.

Hapa hii imekaaje mtoa mada,kwamba ni wewe ndio umedumbukia mto Wami na unapenda hii taarifa iwafikie Rahaleo?
Au ni matatzo tu ya kiuandishi?
Ni matatizo ya uandishi boss.
 
Tukiwa tunapata wazushi kama hawa 5 tu Tanzania itakuwa balaa.
Mtu anakurupuka tu na kutoa uzushi. Daaaah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

We unakurupuka tu kutokea guest house na kuita watu wazushi sio?
 
Dah.......hivi ukitumbukia huko mto Wami.....ni mbinu gani za kujiokoa ukipata hiyo nafasi.......,?
chance ya kupona ni ndogo sana, ata kama unajua kuogelea, hao mamba kuwakwepa sio rahisi nawa sense ya khali ya juu wakiona tu kitoweo wanafika kwa haraka sana.
 
Madereva wa sasa ni viroba kichwani bonge la njia iweje aingie mtoni? Dereva kalewa gongo haa sawa hyo?

Wakati mwingine sio pombe mzee, ni hitilafu za magari labda kwa kutofanyiwa service au hitilafu ghafla tuliwahi kupata tatizo pale miaka ya nyuma gari lilifeli break tukitokea dar dereva akashindwa kufuata zile kona kona na nafuu yetu kutokudumbukia mtoni ilikuwa basi moja linalotokea tanga kukutana nalo uso kwa uso ingawa watu baadhi walipoteza maisha ila dereva aliona suluhu sio kudumbukia mtoni ni kwenda kuvamia hilo basi, wakati huo pale darajani ni kusubiriana hakuna kupishana.
Madereva wote na abiria waliokuwa nafasi za mbele walipoteza maisha.
 
Nimetoka Tanga saa moja kamili leo tar 10 aug 2013 baada ya kusoma hii ikabidi nisimame wami niangalie...kweli wami pako deep lakini basi likitumbukia lazima sehemu yake ionekane na kama nilivyokwambia huu mto unakingo ambapo kabla ya kuingia mtoni huwa unazigonga kwanza zinavunjika ndio unatumbukia lakini hizi kingo ziko sawa kabisa hazijavunjika....hii habari kama imekuja kwa manufaa ya kibiashara kuharibiana.
 
Back
Top Bottom