Ajali Raha Leo mto Wami

Ajali Raha Leo mto Wami

pale gari likifeli break unachagua kifo chako mwenyewe labda utumbukie mtoni au mkutane uso kwa uso maisha bora kwa kila mtz
 
afadhali unitoe wasiwasi maana......nikifika pale huwa napatwa na mawazo sana.........

ngoma ni Mto Mara pale kwenye daraja moja linaitwa Kirumi karibu kabisa na ziwa au tuseme daraja liko kwenye mainigilio ya ziwa victoria barabara ya Musoma Tarime. ukiwa plae juu ya daraja na kufocus kule mtoni kizingizungu. au kule Upande wa tarime ambapo pia mto huu unapitia Kuna daraja pale lilikua lina katika mara kwa mara. nakumbuka kuna wakati tulifikuzwa shule (Tarime secondari) nikawa naenda kufuata ada Wilaya ya Serengeti kufika pale daraja limekatika, mto umefurika, one day before moja ya mitumbwi iliyokua inavusha watu ulisombwa na maji watu wote wakafa. Halafu leo mtu aniambie anaringa na kazi yake.It's mine nimetoka mbali
 
We unakurupuka tu kutokea guest house na kuita watu wazushi sio?

Ukilala guest wewe haimaanishi kila mtu analalaga huko. Wengine tumeoa aisee tunalala nyumbani.
Nisome vizuri uzi wangu nilikua namjibu nani kisha urudi hapa.
 
Ukilala guest wewe haimaanishi kila mtu analalaga huko. Wengine tumeoa aisee tunalala nyumbani.
Nisome vizuri uzi wangu nilikua namjibu nani kisha urudi hapa.
Kwa hiyo ukisafiri mikoani unabeba na nyumba yako? si kila anayelala gest hana nyumba ama familia ndio maana zinaitwa nyumba za wageni.
 
Kwa hiyo ukisafiri mikoani unabeba na nyumba yako? si kila anayelala gest hana nyumba ama familia ndio maana zinaitwa nyumba za wageni.

inategemea from which angle you are looking at it.
 
Nimetoka Tanga saa moja kamili leo tar 10 aug 2013 baada ya kusoma hii ikabidi nisimame wami niangalie...kweli wami pako deep lakini basi likitumbukia lazima sehemu yake ionekane na kama nilivyokwambia huu mto unakingo ambapo kabla ya kuingia mtoni huwa unazigonga kwanza zinavunjika ndio unatumbukia lakini hizi kingo ziko sawa kabisa hazijavunjika....hii habari kama imekuja kwa manufaa ya kibiashara kuharibiana.
Bora umesema ukweli ngoja tumwambie jamaa yetu aifute hii thread au AKANUSHE
Sangarara jana na leo Mungi wa TCRA akihojiwa katiak TBC 1 akiwa na Marien Hassan ameonya kuhusu watu wanaotumia mitandao kuzusha uongo watachukuliwa hatua kali kwani unaweza sababisha vita.

MY TAKE
Hii habari mpaka leo hata Magazeti tu ya UDAKU hayajaiweka 'ajali ya basi la Raha Leo latumbukia Mto Wami' bora kanusha au Mods wakaiweka pembeni. Ila km kuna ukweli basi tututpieni kapich hata ka-simu ya Mchina
 
Back
Top Bottom