kuna ajali ilitokea kibamba pale darajani lori la kontena 40 feet lilianguka darajani halafu likafikia kichwa na kontena likawa juu lakini cha kustaajabisha ni kuwa dereva alitoka mzima
niliwaambia kuwa hapo ndipo unajua duniani kuna mtu anaitwa MUNGU
Pabaya sana pale....kuna ajali ilitokea kibamba pale darajani lori la kontena 40 feet lilianguka darajani halafu likafikia kichwa na kontena likawa juu lakini cha kustaajabisha ni kuwa dereva alitoka mzima
niliwaambia kuwa hapo ndipo unajua duniani kuna mtu anaitwa MUNGU
Kumbe MUNGU ni mtu leo nimetambua sasakuna ajali ilitokea kibamba pale darajani lori la kontena 40 feet lilianguka darajani halafu likafikia kichwa na kontena likawa juu lakini cha kustaajabisha ni kuwa dereva alitoka mzima
niliwaambia kuwa hapo ndipo unajua duniani kuna mtu anaitwa MUNGU
Huyo Ras anafahamika kwa jina la Makosa, hana gari hata moja, wenyeji wa Iringa wanasema Jamaa alikuwa tajiri miaka ya 90, now kafilisika hana kitu kabisa.Hapo Ras anawaza hapati jibu