nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,054
Chai vipi Mkuu? Pita barabara ya morogoro kuanzia stop over mpaka kibamba utaona hizo step, au neno step ndio linakupa ugumh kuamini?Chai
Sent using kidole gumba
Chai vipi Mkuu? Pita barabara ya morogoro kuanzia stop over mpaka kibamba utaona hizo step, au neno step ndio linakupa ugumh kuamini?Chai
Nasisitiza tena CHAIChai vipi Mkuu? Pita barabara ya morogoro kuanzia stop over mpaka kibamba utaona hizo step, au neno step ndio linakupa ugumh kuamini?
Sent using kidole gumba
Picha ingesaidia.Yes sijui niitumie lugha gani nieleweke ila ni kama "kampando" au step kama ilivyo step za kwenye ngazi hasa unapohama kutoka lane moja kwenda nyingine unakuwa unashuka au unapanda ili upate hiyo lane husika
PossiblyDuh.... Comment yangu imefutwa, kwani ni uwongo kwamba watu wa CCM ndio washirikina wakubwa?
Hao ndio wanaotoa makafara, Sasa namshangaa mod aliyefuta post yangu.
Mbeya pia kulikuwa na ajar nyingi sana, wazee wa mji walitambika Sasa kuko swari
Morogoro fanyeni hivyo pia
Sent using Jamii Forums mobile app