Ngwata anagombea kupitia CHADEMA, anashindana na Eng. Stella Manyanya wa CCM.
Hili ni Jimbo la marehemu Komba..., liko mkoa wa Ruvuma
utashinda tuu hata ukiwa kitandani tutakuchagua hatu na mtu mwingine
I know you man come pm please.Get well soon kamanda!
poleni sana , uchunguzi wa awali haujaona hujuma zozote ?Kuna taarifa kwamba Cuthbert Ngwata, mgombea ubunge Jimbo la Nyasa amepata ajali mbaya sana ya gari asubuhi hii ya leo na kupelekea kifo cha mtu mmoja katika msafara wake wa kampeni.
Taarifa zaidi tutawaleta hapa hapa...