AJALI: Ngwatta, Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Nyasa apata ajali apata mbaya

Kanina

JF-Expert Member
May 26, 2013
277
80
Kuna taarifa kwamba Cuthbert Ngwata, mgombea ubunge Jimbo la Nyasa amepata ajali mbaya sana ya gari asubuhi hii ya leo na kupelekea kifo cha mtu mmoja katika msafara wake wa kampeni.
Taarifa zaidi tutawaleta hapa hapa...
 
Ngwata anagombea kupitia CHADEMA, anashindana na Eng. Stella Manyanya wa CCM.
Hili ni Jimbo la marehemu Komba..., liko mkoa wa Ruvuma
 
Ngwata anagombea kupitia CHADEMA, anashindana na Eng. Stella Manyanya wa CCM.
Hili ni Jimbo la marehemu Komba..., liko mkoa wa Ruvuma

edit basi hiyo title kwa kuonyesha mgombea wa ukawa. au vipi kwenye maelezo yako onyesha kuwa ni mgombea wa ukawa kwa tiketi ya chadema
 
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema Jimboni Nyasa Bwana Cathbert Nyasa Ambae ni tishio kwa Stella Manyanya (Mama Matomato) amepata ajali mbaya usiku wa leo eneo la Milima ya Ambro-Bruma, barabara ya kwenda Mbambabay. Ngwatta alikuwa akitokea mbinga. Katika ajali hiyo mtu mmoja amefariki na hali ya Ngwatta inadaiwa si njema sana amelazwa Hospitali ya Wilaya Mbambabay akiwa na maumivu ya mwili. Kamanda Ngwatta ni Mpiganaji ambae angeweza kuleta mabadiliko ya kweli Wilayani Nyasa.

Tumwombe Mungu ampe nafuu -Ngwatta (+255784179028)
 

Attachments

  • IMG-20151003-WA0007.jpg
    IMG-20151003-WA0007.jpg
    289.3 KB · Views: 4,712
  • IMG-20151003-WA0006.jpg
    IMG-20151003-WA0006.jpg
    273.4 KB · Views: 3,386
  • IMG-20151003-WA0008.jpg
    IMG-20151003-WA0008.jpg
    266.7 KB · Views: 4,069
  • IMG-20151003-WA0010.jpg
    IMG-20151003-WA0010.jpg
    224.9 KB · Views: 9,701
  • IMG-20151003-WA0011.jpg
    IMG-20151003-WA0011.jpg
    298 KB · Views: 2,401
  • IMG-20151003-WA0009.jpg
    IMG-20151003-WA0009.jpg
    225.2 KB · Views: 2,519
Ajali hiyo imetokea eneo linaloitwa "BURUMA", maeneo ya Umatengo ktk milima ya Livingstone, akiwa ktk harakati ya kutafuta kura....
 
Damu ya Yesu imfunike na akawe mzima kwa Jana la Yesu tunaifuta roho ya Mzuri kwa jina la Yesu kristu wa Nazareth
 
Kuna taarifa kwamba Cuthbert Ngwata, mgombea ubunge Jimbo la Nyasa amepata ajali mbaya sana ya gari asubuhi hii ya leo na kupelekea kifo cha mtu mmoja katika msafara wake wa kampeni.
Taarifa zaidi tutawaleta hapa hapa...
poleni sana , uchunguzi wa awali haujaona hujuma zozote ?
 
Back
Top Bottom