Ajali na mvuta bangi

Ajali na mvuta bangi

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
913
Mvuta bangi mmoja alifanya ajali akaua watu 25, Kufika polisi Traffic akamuuliza ilikuaje? jamaa akasema alikuwa spidi nyingi tu ghafla akaona kundi la watu kushoto na mtu mmoja kulia na yeye hana breki, akamuuliza traffic:" wewe ungefanyaje? Traffic akasema ningemgonga yule mmoja kusave wengi. Jamaa akasema:"Hivyo ndvyio ilivyotokea, lakini yule mpumbavu alikimbia kule kwa wale wengi na mimi nikamfuata kulekule kusave wengi ndio nikauwa wote ."
 
Kweli bangi lakini ni kiburudisho poa sana kama hauna mawazo
 
Haya majani aliyogundua mbuzi noma kweli.
 
mkuu hii kitu iko poa,thanks
 
big up mzee du yaani akaona bora amgonge mmoja na alivyokimbia yule mmoja akasema huyu huyu nisiwafwate wale wengi kweli bangi nzuri du!!!!!
 
mbona sioni cha kuchekesha au kwasababu sivuti hiyo mibangi yenu
 
Back
Top Bottom