PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
pole yao.
mnataka kumuuwa kirahisi...hapunguzi msafara ng'ooRais ana msafari mkubwa kuliko viongozi wote serikalini..
Rais awe mtu wa kwanza kuonyesha mfano, kwani Yeye binafsi msafara wake akiwa kwenye ziara unachukua zaidi ya magari 15 ya serikali.
bado una usingizi , kakojoe ukalalemnataka kumuuwa kirahisi...hapunguzi msafara ng'oo
Huo utakua msururu sio msafara...!Yalikuwa Magari Mengi Yasio na Idadi Rasmi...
Nimehisi
Tatizo elimu wivuuuuuuumkuu prof muhongo alikukosea nini???
Kuwa mwajibikaji kwa kufika mwenyewe na kuonesha njia, hilo tu mkuu ..mfatilie kimya kimya utamwelewa.kuna matatizo ya kimfumo na kero,sasa TANESCO ni tatizo la kimfumo hapa nchini,na kukatika kwa umeme ni kero sugu, nilikuwa nataka kujua ulikuwa unampongeza kwa kuzingatia kigezo cha uwepo wake site ama unakigezo binafsi?
Muhongo ni mtu sahihi kwenye hiyo wizara tumpe muda....Kuwa mwajibikaji kwa kufika mwenyewe na kuonesha njia, hilo tu mkuu ..mfatilie kimya kimya utamwelewa.
Naamini Muhongo anaenda kufanya Reformation ya maana sana ...Hivi tanzania kweli sijui tukoje vyanzo vyote tulivyo navyo bado tanesco wananunua umeme kwa makampuni kweli