AJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof
Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa
Mkoani Kagera.
Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo
karibu na nchi jirani ya
Uganda.
Source: Mwananchi Online
mkuu prof muhongo alikukosea nini???Wangedead tu hatuna muda
Usiishi kwa kupiga ramliYalikuwa Magari Mengi Yasio na Idadi Rasmi...
Nimehisi
Nampa pole yake hata kama simkubaliAJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof
Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa
Mkoani Kagera.
Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo
karibu na nchi jirani ya
Uganda.
Source: Mwananchi Online
Kazi ipi ya escrow?Prof yupo kazini
Bange kitu kibaya sana=Alulinde?=Pole waziri wangu nakupenda sana mungu alulinde jembe letu
Kazi gani?Poleni sana wote mliopata ajali.Mlikuwa kazini na Mungu atawalinda.Amen
Tupunguze misafara isiyo na tija, so tunabana matumizi ye anapwiyanga tu na msululu mrefu Wa ma V8
Hakika Mungu ni mwema wakati woteAJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof