AJALI: Msafara wa Prof. Muhongo wapata ajali

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,600
5,803
AJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof
Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa
Mkoani Kagera.

Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo
karibu na nchi jirani ya
Uganda.

Source: Mwananchi Online

========================

Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera.

Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo karibu na nchi jirani ya Uganda.
 
Last edited by a moderator:
AJALI: Msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Prof
Sospeter Muhongo umepata ajali baada ya magari mawili kuacha njia katika Kijiji cha Kagorogoro Wilaya ya Kyerwa
Mkoani Kagera.

Hata hivyo hakuna majeruhi waliothibitishwa mpaka sasa na msafara huo ulikuwa unatoka mpaka wa Murongo
karibu na nchi jirani ya
Uganda.

Source: Mwananchi Online
 
Hivi kubana matumizi hakuendani na kupunguza Msururu wa Magari???
 
Tabia ya kukimbiza magar hata Barabara mbovu itaua Viongozi wengi
 
Anahusika vipi hapo????
Rais ana msafari mkubwa kuliko viongozi wote serikalini..

Rais awe mtu wa kwanza kuonyesha mfano, kwani Yeye binafsi msafara wake akiwa kwenye ziara unachukua zaidi ya magari 15 ya serikali.
 
Poleni waliopata ajari kuweni makini huko vijijini bara bara taabu madereva wa kwenye lami lazima wapate taab.
 
Back
Top Bottom