Ajali Morogoro: Mmiliki wa hoteli ya Villa Park apata ajali mbaya na kufariki dunia

1. UMEJUAJE KUWA NI MPENZI WAKE HUKU ANAANDIKA KUWA HAJAFAAMIKA?

2. USKIKUTE WALIKUWA WANATUMIA STAILI YA KALE KA WIMBO AMBACHO KIMEFANYA MADEREVA KUWA WEHU?
 
Ukisoma maelezo yanasema ajali imetokea usiku wa leo saa nane. Hapa inakuja dhana ya tochi, inaonekana jamaa aliamua kusafiri usiku ili kukwepa wingi wa tochi za trafic mchana na hiyo inapelekea watu kuendesha kwa kasi sana. Safari za usiku kwakweli ni risk sana R.I.P kaka
 
Back
Top Bottom