Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,073
- 2,450
Wakati mhe. Salome Mbatia anafariki kwa ajali, hao Trafiki hawakuwepo barabarani?
Hapa ni shida ya madereva wa gari za umma kuendesha kwa kutozingatia tahadhari na sheria za barabarani
R. I. P. Ded na Dereva
Ami, Trafiki hawasaidii chochote zaidi ya kuombaomba hela, ni bora wabaki wachache, na usiku ndio huwaoni kabisa mabarabarani, labda Polisi wa kawaida, kuna wengine wanakwambia bila ajali "wakale wapi".Siko Uingereza ila wewe huoni mbali. Unafikiri wanaoathirika na ajali za barabarani wa wasio tii sheria tuu. Si kweli.
Ami, watu wanaingia bila Condom 'wanateleza' hebu tembelea Guesti bubu uwape lecture.Mimi siyo trafiki ila sitaki kuona watu wanapukutika barabarani.
Siku akipata ajali mtu Mzito ndio Serikali itatanua barabara.Kwanini serikali ya CCM haitaki kutanua barabara maeneo hatarishi mkoani Mbeya?
Ajali isipotokea Inyala, inatokea Mlima Nyoka, isipotokea hapo inatokea mteremko wa Mbalizi, lakini serikali inachukulia poa tu miaka nenda rudi.
Mbona hii ni kama Prado TX? TRJ150?
Kwahyo wangekuwepo hapo inyala wangesaidia kulisukuma roli lililokata break lisigonge magari mengine? Unaongea pumba aseeeHawatoshi basi. Waongezwe.
Ami Trafiki hawasaidii chochote zaidi ya kuombaomba hela ni bora wabaki wachache na usiku ndio huwaoni kabisa mabarabarani labda Polisi wa kawaida, kuna wengine wamakwambia bila ajali "wakale wapi".
Haya mambo utayakuta nchi maskini tu. Ila nchi zilizoendelea hata Polisi wanafuata na kuheshimu sheria zote za barabarani isipokuwa kama wapo kwenye operation maalumu ama jambo la dharura ndo huwa wanawasha ving'ora na magari mengine yanapisha. Ila Bongo dereva wa gari la Polisi hata kama anaenda kupaki gari utaona anatanua barabarani na fujo nyingi. Mara wapite kwenye njia za mabasi ya mwendokasi. Yaani kiufupi sisi nchi maskini bado tupo kwenye transition kutoka kwenye ubinadamu nusu kwenda kwenye ubinadamu kamili. Bado sana sisi.Jamaa huwa hawana tochi wala kibao cha 50
1.Kuwepo kwa vyombo vya usafiri visivyo kidhi vigezo vya kuwepo barabarani (yani havifai kwa matumizi lakini vipo)
2. Kuwepo kwa madereva wasiokidhi vigezo vya kuwa madereva. Hupelekea kuvunja sheria hovyo.
3. Unywaji wa pombe na matumizi ya dawa za kulevya kisha kuendesha vyombo ya moto.
Hizo nadhani ni sababu kuu.
Acha ufala,walikuwa kwenye mkutano wa Alat na ulifunguliwa na VP Mpango.DED wa Igunga anatafuta nn Mbeya?
Kila dereva afuate sheria awe wa Jeshi wa Kiraia au Serikali,Serikali nayo kwa upande wake ijue majukumu yake kama kurekebisha barabara.Unapendekeza nini kifanyike ili kupunguza ajali sasa? Au tukubali tuu watu wapukutike bararabani?
Uko sahihi,ishu sio hijabu bali DED ,kwa kuwa ni kigogo nadhani sasa watajenga hiyo barabaraNimeona aliyefariki kavaa hijabu labda italeta tofauti, kwa maana wengine wanachukuliwa kama wanyama tu TZ ya sasa, watu wanalemaa, wanapoteza maisha barabarani kila siku lkn hakuna anayejali, lkn uzuri wa Mungu yuko fair!