Ajali mbaya ya moto(pichani anahitaji msaada wako)

Wakuu hebu tuache kusikitika pekee...

Mwenye details za namna ya kufikisha cash or advisory support atupe... Hii ni serious na we dont want to lose that smiling face (tena pamoja na kuungua kote) ya huyo mtoto

I would rather support huyu dogo kuliko wale wagogo wanaokaa kwenye traffic light

How do we get contacts, hasa kwa tulio nje ya Dar?
 
Joyce tafadhali toa hata no. Ya simu ya muuguzi wake hata tuotoe kidogo tulicho nacho. Kweli ameungua sana.
 
pole sana justine, Mungu ni mwema, tunakuombea. ni vizuri tukajua mahitaji yake specific na kama mchango wa pesa unahitajika ni vyema tukajua namna ya kutoa na account gani ya kuingizia pesa, da joyce usichoke, tutafutie hizi details, ni Mungu ndiye atakulipa. its so sad. kila anayeweza tumsaidie jamani.
 
Joyce tafadhali toa hata no. Ya simu ya muuguzi wake hata tuotoe kidogo tulicho nacho. Kweli ameungua sana.
Joyce alipolalamikiwa kuhusu avatar, alijibu haraka haraka, ila la kuweka namba ya simu (mawasiliano ya mtoto Justine) kwa ajili ya kumsaidia huyu mtoto imekuwa issue kubwa sana.

Tafadhali kama hiyo namba huna au unatafuta tufahamishe, kuliko kukaa kimya.
 
Wanaohusika; tunaomba namba ya simu ya anayeweza kupatiwa pesa. Kama yuko humu, PM tafadhali.
 
Mtoto kwenye picha anaitwa justine,alipata ajali mbaya ya moto ambayo ilimuunguza vibaya kama anavyoonekana na mkono mmoja ukapukutika kabisa.aliungua kiasi cha mifupa ya fuvu kichwani kuwa inaonekana.alipata ajali hiyo tarehe 16/5/2010 huko morogoro mpaka leo hii nimekwenda kumwona khali yake ndio hiko hivo.wazazi wake ni wakulima na mwenyeji wao ni mama mmoja mtumishi kanisani na ndiye walau anawatembelea mara moja moja,wanajamii forum nawaomba mkamwone na kumsaidia huyu mtoto.umri wake ni miaka kumi,anauguzwa na baba yake ambaye amekuja kumsaidia mkewe ambaye alikuwa amelazwa na justine siku zilizopita.kalazwa wodi ya watoto floor ya nne chumba namba moja,namba ya simu ya baba justine ni o716031159 mnaweza kutumia hata tigo pesa.ni mtoto pekee wa huyu baba wanasikitisha sana sana .picha zake ni hizi..

View attachment 21430View attachment 21429

View attachment 21431View attachment 21429

View attachment 21430View attachment 21432mimi
hapa anuguza vidonda ambavyo wanatoa sehemu ya mwili wake ili waweze kumshone sehemu zilizoungua vibaya zaidi.
Nimekwenda kwa kweli wanahitaji msaada wa khali na mali,mungu awabariki sana kununa dawa na hali ya muhimbiili unavyoijua bila pesa huduma hakuna.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom