Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,417
duh....pole sana wafiwa ila ni ajali kazini si mbaya sana..........
Ndege mitumba halafu zimekaa miaka mingi bila PM unategemea nini, Manyara ziliua, Chalinze - Segera zikaua tena, Sasa hivi imeua kwa Parachuti kukataa kuchomoka? maana yake ni kwamba hakuna PM-(pre test)...uswahili wetu ni gharama sana
bado tuna safari ndefu sana, tutaendelea kujisifia kwa kupigana na raia un armed , ila ki ukweli tupo nyuma sanaaaaaaaaaaaaa,MiG 21 made in the then USSR in 1954 flying in 2012! Awesome
MiG 21 made in the then USSR in 1954 flying in 2012! Awesome
Wanyasa wakiona hii kitu si wanaweza kuvimba vichwa...Mimi nilikuwa nafikiri kwa fungu lote lile wanalopewa Jeshi labda tungekuwa na stealth fighters!? Tunatumia ndege zilizotumika kwenye vita vya Idd Amini...yaani imekuwa kama vichwa vizee vya train...bongooo....bado tuna safari ndefu sana, tutaendelea kujisifia kwa kupigana na raia un armed , ila ki ukweli tupo nyuma sanaaaaaaaaaaaaa,
Napenda watu wa aina yako SAFARI.MiG 21 made in the then USSR in 1954 flying in 2012! Awesome
Sector ya ubabaishaji, kufisadi nchi na kuua raia wasiokuwa na hatiahivi ni sector gani ambayo ipo atleast nchini hapa???? naona kila mahali ni uozo!! CCM TUWACHENI WANANCHI TUPUMUWE...........!!! KIKWETE TUWACHE TUPUMUWE............!!1
Bado unafikiri tu? Kufikiri ndo sera za ccm ambapo ili ndege iwe reject ni lazima ianguke otherwise itapaa tu hata kama ina umri wa miaka mia, huu si wakati wa kufikiri ni wakati wa kutekeleza.!Nafikiri kuna kila sababu ya kufanya mipango endelevu ya kuziuza ama kutumia ndege zenye umri flan kutokana na depreciation rate yake. Kutumia ndege chakavu na kusababisha maisha ya mtu kupotea sio mpango!
Wabongo bwana, zile ndege zenye nafuu tumezifunika na maturubai tunatumia kukuu!!! mae...mae, sio mbaya Jeshini hakuna kuuliza amri moja!!! ndio afande!
Mkuu kama Unamaanisha yule Captain Jua Yule Msukuma wa kipindi kile basi ni R.I.P. Serikali wajaribu kutao Mikopo ya Elimu 100% kwa kila mwanafunzi watu wapate elimu na kila mtu asomee anachokipenda huu ubaguzi wa kutoa mikopo kwa upendeleo hauna tofauti na kikundi cha uamshondio tanzania pekee zaiidi ya uijuavyo. Kama mabomu ya liyokua yame xpire na kulipuka kuna m2 aliyekua anajua kama bado yapo!!? Uwezo wa B52, labda "jua kali" arudi marekani kutembeza bakuli, na kushangaa karsi za ughaibuni na sio leo wala kesho.