Ajali mbaya ya Jet Fighter uwanja wa ndege Dar, tumempoteza kamanda mmoja

Alazwe pema Kamanda.
Lakini ndege zenyewe zimejichokea ndio maana zinapata ajali.

Ndege mitumba halafu zimekaa miaka mingi bila PM unategemea nini, Manyara ziliua, Chalinze - Segera zikaua tena, Sasa hivi imeua kwa Parachuti kukataa kuchomoka? maana yake ni kwamba hakuna PM-(pre test)...uswahili wetu ni gharama sana
 
Ndege mitumba halafu zimekaa miaka mingi bila PM unategemea nini, Manyara ziliua, Chalinze - Segera zikaua tena, Sasa hivi imeua kwa Parachuti kukataa kuchomoka? maana yake ni kwamba hakuna PM-(pre test)...uswahili wetu ni gharama sana

Jeshi letu kwa sasa linauza MATREKTA

serviceb_img1.jpg

Wamasai nao wanalima......hii sio Tanzania tena

kilimo4.JPG
 
RIP kamanda...
Naona sasa huko ahera kanchi katanzania kashakamilika kila kundi lipo kama...

rais, waziri, wabunge,polisi, wanaharakati, waandishi wa habari, raia na sasa mwanajeshi
 
mods, tunaomba UTHIBITISHO WA TAARIFA HII pamoja na picha za tukio kwa ndege ilipokwenda kukwana au kuangukia pia
 
Presidaaa anaenda Marekani kila uchwao.. anashindwa kuwaomba wampe F16 mbili tu..? Hizi zetu zikipita juu hata ukiwa na manati wazitungua..

Rest In Peace Kamanda..

 
  • Thanks
Reactions: awp
Ni ajali tu jamani, tukumbuke sio Tz tu hata nchi za wenzetu matawi ya juu jet fighter zilishawahi kuanguka na kuripuka zikiwa mazoezi! RIP Kamanda wetu. Amen
 
Nilitegemea tuwe watu wa kutoa pole kwa wafiwa, kumbe ndo tupo hivi. Kweli ukistaajabu ya musa ............. Rip kamanda wetu. Kifo chako kimeacha zaidi ya watanzania 5000 uliopangiwa kuwalinda bila ulinzi kwa sasa. Mpaka ifanyike mipango mipya. Umpokee eeee mola na kumhifadhi katika nyumba ya milele, amen.
 
Jeshi letu kwa sasa linauza MATREKTA
Wamasai nao wanalima......hii sio Tanzania tena

mkuu ndio maana mi nasema Tz inabidi iingie kwenye maajabu yale saba ya ulimwengu.

siku hizi wanafanya biashara mpaka ya noah na nasikia wanafungua bank yao wanaodisha kumbi za arusi zipo nyingi tu, hatuna jeshi siku hizi tu Jeshiriamali we subiri tu utasikia kuna Jeshi combat star seach na mengineyo.

vyombo vyetu vyote tumebinafsisha kuanzia usalama, polisi, magereza na JW/JKT
 
so sad amekufa vibaya sana i can imagine. But ni vyema hakuvunjika akawa hai manake angeumia zaid na zaid bora hivi tu.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Chezea Shimbo & co wewe,hela badala ya kununua latest Jet fighters wanachukua scrapers za wa Russia, R.I.P kamanda wetu badala ya kufia vitani unafia airwing Mungu akulaze mahala pema peponi
 
Back
Top Bottom