Ajali mbaya ya Jet Fighter uwanja wa ndege Dar, tumempoteza kamanda mmoja

Niliangalia LIVE maadhimisho ya miaka 50 ya Uganda mwaka huu...kati ya mambo waliyoyaonyesha ni millitary hardware..kweli walifunika kwa kuwa na jet fighters za kisasa za F-22, combat helcopters, kwa kutaja kwa uchache....Nilifadhaika baada ya kupiga taswira ya maonyesho ya ndege zetu zilezile ambazo zipo tangu nikiwa shule ya msingi hadi wakati huu nikizeeka. something must be done!
 
MiG 21 made in the then USSR in 1954 flying in 2012! Awesome

800px-Mikoyan-Gurevich_MiG-21PF_USAF.jpg

aiseeee babaangu hiyo ndege ina umri mkubwa kuliko baba mwanaisha
 
Aiseeee babaangu kila kukicha tanzania matatizo hayaishi ngoja ningoje zangu mechi za uefa nijifariji
 
Nafikiri kuna kila sababu ya kufanya mipango endelevu ya kuziuza ama kutumia ndege zenye umri flan kutokana na depreciation rate yake. Kutumia ndege chakavu na kusababisha maisha ya mtu kupotea sio mpango!

Wabongo bwana, zile ndege zenye nafuu tumezifunika na maturubai tunatumia kukuu!!! mae...mae, sio mbaya Jeshini hakuna kuuliza amri moja!!! ndio afande!

Tutamuuzia nani????
 

kweli mkuu Nyerere ashakamilisha jamhuri ya TZ huko ahera kwa jinsi tunavyokufa kizembe angalia ajali za meli na mabasi tu zimeondoka na wangapi? nafikiri ile nchi ya ahadi yenye maziwa na asali ishakamilika huko wengine tusubiri tuone watatuwahisha kama hao wengine au tutaenda kwa Mapenzi ya MOLA.
 
ya MANYARA ILIUA MTU ANAITWA MAYENGA JE WW NI NDUGU ?????

Huyo Mayenga kweli ndugu zake walishalipwa au faida ya serikali? Na hizo helicopter mbovu nani alizinunua jamani?..tuelimishane kidogo kujua wanaotumaliza huku wakituchekea
 
RIP kamanda. Hii ni changamoto kwa serikali kuwa na vifaa vya kisasa jeshini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom