Ajali mbaya ya Jet Fighter uwanja wa ndege Dar, tumempoteza kamanda mmoja

Ndege mitumba halafu zimekaa miaka mingi bila PM unategemea nini, Manyara ziliua, Chalinze - Segera zikaua tena, Sasa hivi imeua kwa Parachuti kukataa kuchomoka? maana yake ni kwamba hakuna PM-(pre test)...uswahili wetu ni gharama sana

Ajali za ndege zinatokea duniani kote kwa ndege zote unazozifahamu (kama unafahamu aina yoyote!) hata huko US sema wenzetu wanajua ajali ni ajali hata uwe nani inatokea tu. anyway unajaribu kusema Tanzania si lolote, ni haki yako ya kikatiba ila fahamu hapa familia imepoteza mpendwa wao, nchi imepoteza kamanda, wewe sema utakavyo ni haki yako!
 
MiG 21 made in the then USSR in 1954 flying in 2012! Awesome
800px-Mikoyan-Gurevich_MiG-21PF_USAF.jpg
bado tuna safari ndefu sana, tutaendelea kujisifia kwa kupigana na raia un armed , ila ki ukweli tupo nyuma sanaaaaaaaaaaaaa,
 
Kuna thread nyingine imeanzishwa mdasi mrefu inasema hivi:

[h=2]BREAKING NEWS: Mwanajeshi wa kikosi cha Anga afariki mafunzoni[/h]
BREAKING NEWS: Mwanajeshi wa Kikosi cha Anga Kapteni E.E Magushi amefariki baada ya ndege aliyokuwa akijifunzia kushindwa kuruka.

Source: Eatv/twitter
 
MiG 21 made in the then USSR in 1954 flying in 2012! Awesome



Very true Mkuu. Sasa unajua ndege za kivita hazikodishwi, lasivyo tungekodisha mitumba ya wenzetu huko nje! ATCL imeshindwa kununua angalai ka-ndege kamoja ndio tuwe na uwezo wa kuwa na modern fighter jets, thubutu! Huenda hata hizi za kizamani tulipewa msaada na Warusi walipoona museum zao zimejaa tayari ndege za zamani.

Malawi watakuwa wanatabasamu sana kwa habari hii!
 
R.Ip Kamanda, kwa nini jeshi lisitoe hizi skrepa za ndege na vifaru wakawapa vijana wetu ambao kutwa utembea wakiwa wamejiinamia wanatafuta chuma chakavu? au nondo kupanda bei wanaona sana, Jeshi toeni hizo ndege na vifaru tuponyeshe vijana waache kujiinamia kupekua mchanga kama kuku. HEBO!
 
Kamanda wa jeshi la wananchi la Tanzania amethibitisha kufariki kwa mwanajeshi mmoja huku mwingine akiambulia kuwa majeruhi.

Chanzo hiki kimeeleza kuwa ndege hiyo haikuwa ya abilia bali ilikuwa katika mazoezi ya Jeshi ambapo ndani yake kulikuwa na wanajeshi wawili.

Baada ya ndege hiyo kupata hitilafu waliruka na mianvuli lakini kwasababu hawakuwa umbali wa kutosha, mianvuli hiyo haikuweza kufunguka, kitu kilichosababisha mmoja wao kutua katikakati ya lami na mwingine juu ya paa.
 
Ndio mfahamu pamoja na kuwa mwanajeshi Dhaifu ni Dhaifu tu ndege hizi zilinunuliwa na Mwalimu wakati wa uongozi wake hadi leo wanataka kuzitumia. Dhaifu hana jipya fedha za walipa kodi anajilimbikizia yeye pamoja na rafiki zake wa kigeni ambao hawana uchungu wowote na Watanzania walipa kodi.
 
Midege yenyewe si amost chuma chakavu tuu!!! Ni umri wa yale mabomu yanayolipuka hovyo!!!
 
bado tuna safari ndefu sana, tutaendelea kujisifia kwa kupigana na raia un armed , ila ki ukweli tupo nyuma sanaaaaaaaaaaaaa,
Wanyasa wakiona hii kitu si wanaweza kuvimba vichwa...Mimi nilikuwa nafikiri kwa fungu lote lile wanalopewa Jeshi labda tungekuwa na stealth fighters!? Tunatumia ndege zilizotumika kwenye vita vya Idd Amini...yaani imekuwa kama vichwa vizee vya train...bongooo....
800px-Mikoyan-Gurevich_MiG-21PF_USAF.jpg
 
Mbona hii habari haijatangwa na chombo chochote cha habari? au wemepigwa biti?
 
hivi ni sector gani ambayo ipo atleast nchini hapa???? naona kila mahali ni uozo!! CCM TUWACHENI WANANCHI TUPUMUWE...........!!! KIKWETE TUWACHE TUPUMUWE............!!1
Sector ya ubabaishaji, kufisadi nchi na kuua raia wasiokuwa na hatia
 
Nafikiri kuna kila sababu ya kufanya mipango endelevu ya kuziuza ama kutumia ndege zenye umri flan kutokana na depreciation rate yake. Kutumia ndege chakavu na kusababisha maisha ya mtu kupotea sio mpango!

Wabongo bwana, zile ndege zenye nafuu tumezifunika na maturubai tunatumia kukuu!!! mae...mae, sio mbaya Jeshini hakuna kuuliza amri moja!!! ndio afande!
Bado unafikiri tu? Kufikiri ndo sera za ccm ambapo ili ndege iwe reject ni lazima ianguke otherwise itapaa tu hata kama ina umri wa miaka mia, huu si wakati wa kufikiri ni wakati wa kutekeleza.!
 
RIP Kamanda, ulijitolea maisha yako kulinda ndugu zako Watanzania. Hii inanikumbusha ndege ilyoanguka 1979 pale uwanja wa Taifa wakati wa kuwapokea mashujaa wetu wakitoka vitani Uganda. Marubani wote walikufa, nao ni Capt. Karama na mwingine simkumbuki vizuri, Mnara wa kumbukumbu umejengwa mahali ndege ilipoangukia ambapo ni nyuma ya Uwanja wa Taifa kama unaingia 831 KJ Mgulani JKT.
 
RIP Kamanda, ulijitolea maisha yako kulinda ndugu zako Watanzania. Hii inanikumbusha 1979 wakati wa mapokezi ya Wanajeshi wetu wakitokea Uganda baada ya vita vya Kagera kuna ndege ilianguka karibu kabisa na Uwanja wa taifa na marubani wote wawili walikufa. Mnara wa kumbukumbu umejemga mahali ndege ilipoangukia nyuma ya Uwanja wa Taifa (mpya) unapopakana na 831 KJ Mgulani JKT.
 
ndio tanzania pekee zaiidi ya uijuavyo. Kama mabomu ya liyokua yame xpire na kulipuka kuna m2 aliyekua anajua kama bado yapo!!? Uwezo wa B52, labda "jua kali" arudi marekani kutembeza bakuli, na kushangaa karsi za ughaibuni na sio leo wala kesho.
Mkuu kama Unamaanisha yule Captain Jua Yule Msukuma wa kipindi kile basi ni R.I.P. Serikali wajaribu kutao Mikopo ya Elimu 100% kwa kila mwanafunzi watu wapate elimu na kila mtu asomee anachokipenda huu ubaguzi wa kutoa mikopo kwa upendeleo hauna tofauti na kikundi cha uamsho
 
Back
Top Bottom