Ajali mbaya Mbezi Luguruni mida hii

Ajali mbaya Mbezi Luguruni mida hii

Allah awape wepesi watoke salama mapema
 
Mzee wa mate mboni unasifu na kuabudu mambo ya ajali watu wameumia wamekufa unajua

Unakuta watu wanapanga bidhaa barabarani halafu hawawezeshwi na serikali yao kujikwamua kutoka barabarani. Na bado yanachagua CCM. Yafe tu hadi akili zirudi
 
Pale LUGURUNI Pana taa za kuongoza gari,je ni Lori lilisimama ghafla au dereva wa school bus hakuzingatia mataa?
 
mkuu kama hujui hisi schoolbus usiku zinabebaga abiria pale mbezi zinasaidia kiasi flan sijajua hii ilikuwa na abiria??
Polen majeruhi jaman mda wakuomba na kusali na kama huna ulazima wakukaa mtaan mpaka usiku wahi kwako mapema hali sio nzuri

Jana vijana wawili saa mbili na usiku wamekatwa katwa huku kwetu n wanafunzi wakachykuliwa laptop zao

Wamejeruhiwa sana uwaangalii marambili

Sio gati tu hadi watuu wameingiwa na rohoo za mauti mwishon mwa mwaka
Allah atunusuru
Wapi huko
 
Habari za muda huu,

Kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj, hivi natokea Mloganzila walipoletwa majeruhi kama kumi habari na picha njtawaletea ikifika Luguruni..
Sikuamini, picha ziko wapi.....ikiwezekana tuwekee na majeruhi pia.
 
Habari za muda huu,

Kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj, hivi natokea Mloganzila walipoletwa majeruhi kama kumi habari na picha njtawaletea ikifika Luguruni..
Bado hujafika tu ili utuletee picha kama ulivyotoa ahadi? Punguza mihemko
 
Back
Top Bottom